Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Anything kinatokea uwapo na chombo cha moto, ni vyema ku rate usiku na mchana.. Nilishalala porini kishenzi na hakuna gari ilijaribu simama ili kuwa ni sehemu hatari... Nilichofanya nilijiweka fit kwa lolote litalo tokea
Pole mkuu, safari za usiku hasa kama unaendesha peke yako na haupo kwenye convoy it's not worth it, safari za usiku ni LAZIMA uwe kwenye convoy na mtambuane sio kujiingiza tu kwenye convoy, ndio maana kama unataka kuendesha usiku on T1 ,ni muhimu uondoke Dar alasiri by 1800 uwe pale msamvu, ukifika pale wale jamaa wa ITs unafanya nao urafiki ili mtambuane na mkitoka pale upo ndani na lolote likitokea unajua una back up
 
Sure, kuna masafari ya papo kwa papo hao IT wanakuwa hawapo na hata kama hawapo wanashindwa himili haraka zako unawakata kama upepo
 
Yes mkuu na motor ina perform vema usiku, cool temperature na tyres na pia kwa driver unakua more concentrated kuona ya mbele ambako unaongozwa na lights zako, mchana mara pisi kali imekatiza na macho yatageuka ti kuangalia,just imagine upo 120km/hr na untangling pisi kali kwa 5s, meters kibao unakua ume cover huku ukiwa ni passenger sio dreva!
Hizo pisi kali unaziona huko Kona za Iyovi na Kitonga au mjini ambako huwezi kuwa mwendo mkali? Wewe kama unapenda kusafiri usiku safiri tu ila kwa mazingira ya Tz sio salama hata kidogo. Na tusidanganyane kinachokwepwa mchana ni Askari na tochi zao Tu kitu ambacho ni rahisi kuepuka just do 50koh on 50kph zone.
 
Sawa mkuu nimekuelewa hasa, but swali dogo tu freeway unaweka 50km/h,hii ni speed ya kwenye makazi, kutoka pale Ruaha Iringa hadi kitonga pass kuna zaidi ya 30zones za 50km/h!,uendeshaji huu unaua gari!
 
Sure, kuna masafari ya papo kwa papo hao IT wanakuwa hawapo na hata kama hawapo wanashindwa himili haraka zako unawakata kama upepo
Salute mkuu kama una uwezo wa kuzikata ITs zinazoanza safari pale msamvu at 1900 na 0500 zipo borders, upo safi mkuu, nitamwomba Mr.PRONDO tuandae road trips kwa wapenzi wa uzi huu (binafsi lazima nipitie humu mara nyingi tu per day)
 
Kuna road trip ya huu uzi inaandaliwa na JBourne59 nafikiri maadalizi yako mwishoni.
 
Salute mkuu kama una uwezo wa kuzikata ITs zinazoanza safari pale msamvu at 1900 na 0500 zipo borders, upo safi mkuu, nitamwomba Mr.PRONDO tuandae road trips kwa wapenzi wa uzi huu (binafsi lazima nipitie humu mara nyingi tu per day)
😊😊😊 Sijawai sumbuliwa na IT labda kwa gari ambayo imezidi uwezo kwa kila kitu, ila hizi common huwa mazichapa haswaa
 
Sawa mkuu nimekuelewa hasa, but swali dogo tu freeway unaweka 50km/h,hii ni speed ya kwenye makazi, kutoka pale Ruaha Iringa hadi kitonga pass kuna zaidi ya 30zones za 50km/h!,uendeshaji huu unaua gari!
Ukiendesha mchana, unakuwa tayari kufuata hizo speed limits, huna haraka vinginevyo itakula kwako.
 
Ni kweli ndio maana siwezi endesha mchana!,elewa kutoka DAR hadi Moro ni 200km,mchana distance hii unaweza kutumia 3-4 hrs,,na unawasili Moro ukiwa umechoka na frustrated 😠, ndio maana Dar to Moro ondoka at 1400,police officers wanakua wameshafunga hesabu!
 
Its a road trip,supposed to be fun and relaxed, not a race. Kama una haraka take a risk tembea usiku. Kama unasafiri unataka kuinjoi mandhari na driving safiri mchana.
 
Back
Top Bottom