Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

GR-Sport nimezipenda zilivyo kaa, kuna moja ndio wameweka kabisa vimulimuli.. Nahisi soon tutaziona kwenye msafara wa bi mdash
Ile mashine unajua ndio ina 41OHP sipati picha wahuni watakavyokuwa wanapasuka highway 😂 halafu imekaa kibabe sana. Rim tu ndo naona walizengua kuweka..Rim zake sio kali kama za VX-R
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…