Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukiwa kwny driving unaona rahaa ku press mafuta na ukiwa umefunga vioo ndo kabisaaa hujui ni jinsi gani huko nje wanasikitika wanajisemea yani huyu akila mzingaa hatoki atakua chapati.

Mimi huwa na kawaida ya kutaka kuvunja rekodi ya kutembea umbali fulani kwa muda mfupi zaidi...

Mfano kama safari ya Dar - Chalinze mwezi huu nikitumia saa 1.5, next time najiwekea nadhiri nitumie muda pungufu ya huo...
 
Bila jams kabisa inawezekana ila uwe na gari ambayo kurudi 120 ni kugusa tu. Sio gari inatembea karibia kilometre 1O ndio ifike speed 100
Nilichapa mwendo Dar - Dom masaa ma nne na nusu 4:30... Siku ile nimetoka ndani saa nane kamili, naagwa saa 12:30 nampigia simu mtu bado kalala 🤠🤠🤠🤠 akabaki Mungu wangu... Alijua moto si wa kitoto nilipeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…