G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Kibabe sana humo, hasa ukizingatia mafuta ya kuchanja dah! Hio Dar-Dom wananchi wajipange maana chuma zitakuwa zina amsha mbaya.GR sport hiiView attachment 2350344
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibabe sana humo, hasa ukizingatia mafuta ya kuchanja dah! Hio Dar-Dom wananchi wajipange maana chuma zitakuwa zina amsha mbaya.GR sport hiiView attachment 2350344
Wale vichaa wakitumwa kazi maalumu huwa njia wanaigeuza yao kabisa 😂😂😂Hiyo ipo kwa kazi maalumu
🤠🤠🤠 Dar doma mbona sasa hivi huwezi tembea bila kukutana nayoKibabe sana humo, hasa ukizingatia mafuta ya kuchanja dah! Hio Dar-Dom wananchi wajipange maana chuma zitakuwa zina amsha mbaya.
Hiyo off road ndio maala pake.. Hhainasi kizembeWale vichaa wakitumwa kazi maalumu huwa njia wanaigeuza yao kabisa 😂😂😂
Sahizi 4 wheel walioweka humo ni mwana ukome 😂😂😂 watu walikuwa wanaibeza 4wd ya Toyota watafte sababu mpya.Hiyo off road ndio maala pake.. Hhainasi kizembe
Ukiwa kwny driving unaona rahaa ku press mafuta na ukiwa umefunga vioo ndo kabisaaa hujui ni jinsi gani huko nje wanasikitika wanajisemea yani huyu akila mzingaa hatoki atakua chapati.
All time 4x4..Sahizi 4 wheel walioweka humo ni mwana ukome 😂😂😂 watu walikuwa wanaibeza 4wd ya Toyota watafte sababu mpya.
Bila jams kabisa inawezekana ila uwe na gari ambayo kurudi 120 ni kugusa tu. Sio gari inatembea karibia kilometre 1O ndio ifike speed 100Mzee baba nishawahi tembea Dar Moro kwa saa 1 na dk 45 hivi, enzi hakuna hawa kunguru weupe kila mahali...
Bila jams kabisa inawezekana ila uwe na gari ambayo kurudi 120 ni kugusa tu. Sio gari inatembea karibia kilometre 1O ndio ifike speed 100
Hivi suzuki kumbe nao wana mashine za nguvu eehHiyo ilikuwa ni Escudo V6 fulani hivi wese sio la mawazo
Hivi suzuki kumbe nao wana mashine za nguvu eeh
Nilichapa mwendo Dar - Dom masaa ma nne na nusu 4:30... Siku ile nimetoka ndani saa nane kamili, naagwa saa 12:30 nampigia simu mtu bado kalala 🤠🤠🤠🤠 akabaki Mungu wangu... Alijua moto si wa kitoto nilipelekaBila jams kabisa inawezekana ila uwe na gari ambayo kurudi 120 ni kugusa tu. Sio gari inatembea karibia kilometre 1O ndio ifike speed 100
Hilo linawezekana usiku tu bila uwepo wa mapotiNilichapa mwendo Dar - Dom masaa ma nne na nusu 4:30... Siku ile nimetoka ndani saa nane kamili, naagwa saa 12:30 nampigia simu mtu bado kalala 🤠🤠🤠🤠 akabaki Mungu wangu... Alijua moto si wa kitoto nilipeleka
Ilikuwa saa nane usiku, no poti no nini.. Kibati kimoko tuu..Hilo linawezekana usiku tu bila uwepo wa mapoti
😂😂😂😂😂😂😂 njia imepoa vibaya mnoIlikuwa saa nane usiku, no poti no nini.. Kibati kimoko tuu..
Gari iko njema sana hio. Sema variant yake ya 2.7L ndio balaa zito.Escudo V6 G LIMITED E-TD11W
Mungu akushike mikono ijae ujasiri la sivyo ukitetereka kidogo tuu ni habari nyingineMimi huwa na kawaida ya kutaka kuvunja rekodi ya kutembea umbali fulani kwa muda mfupi zaidi...
Mfano kama safari ya Dar - Chalinze mwezi huu nikitumia saa 1.5, next time najiwekea nadhiri nitumie muda pungufu ya huo...
IT nyeupe na tractor, Jpl usikuKuna BMW moja nikaikuta maeneo ya DAKAWA nadhani imeumana na Tractor.
Drivers wa Premio .... DXB, Merce C200 .... DPM, Raum ....DNW, a good ride it was [emoji1491]