Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama million 200 unaona nyingi, na hizo gari za million 200 zimezagaa barabarani basi utakuwa na ufinyu wa fikra juu ya hela.
gari za milioni 200 zimezagaa barabarani?!, barababara za hapa hapa tanzania?.

ni gari gani hizo?.malori?, mabasi?, SUV's?, minivans?, sport cars?.

tupe details ndg mtaalam.
 
Clip nzuri sana binafsi nazipenda sana,wimbo mzuri mno wa kusindikiza safari, welldone mkuu, Nami InshaAllah ninajiandaa kufanya long trip soon,mkuu hii barabara wameiwekea matuta kama T1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…