Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Salute salute mkuu, unaijua vema hii T2,pit stop chinsali military check point
 
Ila kwa sasa naona wanafukia zile sehemu zote zilizokua na mahandaki, Zambia nashindwa kuwaelewa muda mwingine, barabara hii ndio aorta yao ila mahandaki yanaanzia pale pale geti la border yao!
Ni shida

Halafu hata hawajali

Cha ajabu migari yao Ile inapakia abnormal

Huwezi kuta limeanguka za kwetu Sasa[emoji1787]

Ni shida kila km 150 lazima ukute kontena

Kapiga shimo likamchota
 
Ni shida

Halafu hata hawajali

Cha ajabu migari yao Ile inapakia abnormal

Huwezi kuta limeanguka za kwetu Sasa[emoji1787]

Ni shida kila km 150 lazima ukute kontena

Kapiga shimo likamchota
Mkuu upo right tunapoteza trunks nyingi sana Zambia kwa ajali looo inasikitisha mno, na container zinainuliwa kwa kutumia magogo!,sio cranes
 
Mkuu upo right tunapoteza trunks nyingi sana Zambia kwa ajali looo inasikitisha mno, na container zinainuliwa kwa kutumia magogo!,sio cranes
Halafu ni Zambia yote wanafanya hivyo

Kitwe Chingola

Nilikuwa solwezi via mutanda Zambezi

Karibu na Angola huko

Ile barabara nayo imechoka mno

Barabara nzuri ni Kapiri Lusaka kwenda Chirundu huko near Zimbabwe
 
Safari yangu itaanza next week kuelekea Bomang'ombe (Kilimanjaro)

Gari, Premio Cc 1790
Kutoka Kanda ya ziwa

Full tank ni Lita 60 lakini najua mpaka gari ijae zitakuwa kati ya lita 45 mpaka 40 sababu gari haitakuwa empty kabisa

Bajeti ya one route kwa mafuta ni kuanzia 150k- 180k na nna uhakika yatanifikisha.

Naandalizi ni service ya tairi, brake, taa, ( engine oil nishabadili miezi 3 iliyopita na ni ya km 9000 bado ziko 2+k)

Ntabeba spare tyre, jeki, triangle, maji caton 2 makubwa, Dumu la ltr 5 empty emergency,) ntakuwa peke Yangu.

Safari itaanza saa 10 na nusu Alfajiri, ili saa 1 kasoro inikute Shinyanga, na saa 4 kamili niwe singida.

Kuanzia singida ni mkeka usio na magaro kabisa no full kujiachia risk ni ndogo.


Ewe Mwenyezi Mungu Nisaidie.
 
Welldone mkuu unapo plan road trip yako inakua safi sana,always listen the main music!,coming under your bonnet, mziki huu uusikilize sana kuliko unaotoka kwenye speakers zako,rest and rest, avoid road rage, epuka drive and stop hii inakula sana wese, accerate taratibu huku ukiipa gari to pick up the speed itself usilazimishe,AC ni safi ila wese nalo litapotea ,kwa hiyo unapopack ,weka kwenye kivuli, na kila wakati ruhusu hewa mpya kuingia kwenye gari!,travel safely, binafsi yangu ya kufungia mwaka haipo mbali InshaAllah, tupia vipicha mkuu
 
Hako ka funcargo hakali wese jamani, kuwa makini na overtakes tu.
 
Ushauri Murua kabisa Mkuu, Nashukuru Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…