Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Habarini wakuu ...mm ni kijana ni dreva mzuri ...mdogo wenu naangaaika na connection za kazi za undreva naombeni msaada wenu ...maana kuomba pesa siwezi ila kazi naomba sana ....nisaidieni mdogo wenu
0687354161
Unaendesha gari kubwa au ndogo. Kama upo Dar nenda jengo la Maktaba Square Posta uliza ofisi za In Transit Drivers Association (ITDA) upeleke maombi yako saizi wamekula shavu la kutoa gari bandarini na kupeleka bandari kavu (ICD).

Kama ni maroli piga namba hii kisha jielezee wanataka madereva 0677469840
 
Gari ya kizamani hio inapigika mkono..haiwezi kuwa aghali sana kulitibu. Shida ni haya yanayonusa mafuta😂😂😂 umeme kila kona hadi kwenye wipers!
Mwambieni asichukue yenye air suspension.Disco 2 lenye Td5 ya dizeli umeme upo na halitaki shida, bora achukue la petrol afarijike na ngurumo ya simba kutoka mlio wa engine
 
badili oil hio achana na story za kilometre 9000, hata ulaya hamna oil za design hio.
 
Eti ni kosa kuendesha gari ukiwa umefungulia loud music?
Hili ni swala la common sense tu...kabla hujaambiwa ni kosa au siyo kosa.

Kwanza unakuwa kwenye risk kubwa ya kusikia warning yoyote ya hatari kutoka kwenye gari lako, hausikii kelele yoyote ya chombo ama hitilafu ya gari,

Unaweza ukawa unapewa ishara au kupigiwa honi na mtu husikiii..

Bado kuna hatari ya wewe kufocus na mziki na ukasababisha ajali.

Kuna wakati kuna gari za dharula linapiga kelele lipite wewe umekaa katikati husikii sababu ta mziki
 
Nilihisi zimebakia 2K kwenye hio buku 9
Hapana kaka..Sema nilimwaga hydrolic toka Mwezi wa 12 Mwaka jana, na nishatembea kama Km 3000, hivi hii oil huwa ni ya kumwaga kila baada ya hizi KM chache kama engine oil? Maana kidogo hyo kitu n sensitive ukimess up unaua gearbox...Bad enough ki card cha Oil wale mafundi hawakukiweka
 

Dumu la lita tano weka maji ya bomba.
 
Mziki mzuri wa kuusikiliza ni ule unaotoka chini ya bonnet sio speakers 🔊!!
 
Moja ya maeneo napenda sana kupiga picha...

Mara ya kwanza kupita hii mahali ni enzi hizo za kina Kwacha, Kiswele na hadi sasa mandhari yake haijawahi badilika...

Hili ndio eneo linalotenganisha nyanda za juu kusini na uwanda wa chini wa pwani, eneo linalotenganisha baridi ya kusini na joto la pwani...

Kitonga moja

 
View ya kibabe
 
Kwa Manual ukiwa unafanya engine brake kwa kutumia gear namba 1 & 2 unashuka vizuri. Sijui kwa watu wa auto ujuzi wao inakuwaje?
Ok inawezekana lkn tusiwe watu wa kuyafanya ya hatari kwa kuwa tuna hatarisha maisha kwa kukusudia

Itokee unafanya hivyo kwa emergency tu na isiwe nishazoea ni hatari
 
Ok inawezekana lkn tusiwe watu wa kuyafanya ya hatari kwa kuwa tuna hatarisha maisha kwa kukusudia

Itokee unafanya hivyo kwa emergency tu na isiwe nishazoea ni hatari
Kwa gari kubwa ni hatari zaidi, hiyo engine braking sisi tulifanya kwa dharura na Land Cruiser 76 series huko nyanda za juu kusini baada ya kutoka porini na gari ilikuwa na tatizo mfumo wote wa Brake na safe speed inatakiwa uwe chini ya 40kph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…