Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Unaendesha gari kubwa au ndogo. Kama upo Dar nenda jengo la Maktaba Square Posta uliza ofisi za In Transit Drivers Association (ITDA) upeleke maombi yako saizi wamekula shavu la kutoa gari bandarini na kupeleka bandari kavu (ICD).Habarini wakuu ...mm ni kijana ni dreva mzuri ...mdogo wenu naangaaika na connection za kazi za undreva naombeni msaada wenu ...maana kuomba pesa siwezi ila kazi naomba sana ....nisaidieni mdogo wenu
0687354161
Kama ni maroli piga namba hii kisha jielezee wanataka madereva 0677469840