Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Daah ulikuwa una umimina mwingi mkuu, hii december kwangu kwenye kupumzika nimefeli kabisa, ila kabla mwaka haujaisha lazima nimkung'ute vumbi mnyama kisafari chochote cha masaa manne au matano ninywe bia nilale nigeuze

Jana nilisogea mpaka kiromo kwenye mambo yangu daah mzuka wake si wa kitoto, hapo mwanzoni nikatamani nisogee mpaka makurunge niwasindikize tuu wasafiri maana niliwapelekea moto, na gari yangu sauti inayowaachia huko nje wanajua wenyewe
 
Acha ku complicate maisha ya watu mzee, Live and let live. Jifungie chumbani kwako ukijilinda
 
Hahahah mzee non stop unaitembeza VQ25 halafu wanamsema mjapani, usijaribu hilo kwa BMW au Audi utalia na kusaga meno
Hujui usemalo sijui kwanini unakuwa kama mtu asie na ABC za magari. Watu wanatoka SA mpaka Tz na kurudi na hizo gari kila miezi michache. Dogo mmoja namjua ana Golf mk5 huwa anaenda na kurudi mwanza kila mwezi mara mbili au tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…