Sasa gari ina 3.5l inakupa hiyo mileage, inakuaje mtu anaogopa gari yenye engine kubwa?View attachment 2465559
Topography ya mkeka wa Iringa - Igawa inakupa consumption nzuri ukiishi nayo inavyotaka
Hiyo ni average ya 12.2kmpl baada ya km 200 kutoka Iringa
Na hata kama naendesha mimi na nina mshikaji anakunywa pombe ni bora nimshushe tu.I second you.... Walioweka utaratibu wa don't drink and drive wanajua ... Ni hatari sana coz hata in case of accident or injury hutaweza tibiwa mpaka pombe itoke mwilini.
Or maybe I am spoiled [emoji1787]Ha ha ha engine haina guts....
Wabongo tu na kasumba zetu. Tukiamua letu tumeamua wote kama taifa tunashikilia msimamo mmoja.Sasa gari ina 3.5l inakupa hiyo mileage, inakuaje mtu anaogopa gari yenye engine kubwa?
Wabongo tu na kasumba zetu. Tukiamua letu tumeamua wote kama taifa tunashikilia msimamo mmoja.
Mpaka unashangaa ule uwoga ulikuwepo juu ya spare za Subaru umeishia wapi?Kweli kama taifa lilivoamua kusimama na subaru forester sahivi baada ya IST,Crown na Dualis [emoji28][emoji28]
Hasa kwa kutembea usiku, ni kichefuchefu.Hivi Road Engineers wa iringa na njombe hadi mbeya hawana uwezo wa kufuatilia mbali yale matuta?hasa kuanzia mafinga hadi igawa, zile tuta zinanitiaga hasira sana
Mkuu hio ukianza safari za mjini Goba posta kila siku utapata maximum 6km/l hapo ndio mgogoro ulipo. Day to day its not economic na bei zetu za mafutaSasa gari ina 3.5l inakupa hiyo mileage, inakuaje mtu anaogopa gari yenye engine kubwa?
Its craze mkuu, utafikiri hawa engineers wetu wote walitumia issue ya matuta kupata degrees zao,Zambia wameshaondoa almost matuta yote kwenye highways zao,from Kaffe hadi kazungula border,mkeka mzuri mno, tuta kidogo pale mahakama ya mbuzi, Botswana 🇧🇼 kutoka kazungula border hadi Gabs hakuna tuta kabisa pamoja na barabara hii kuwa na more than 300km za national park, na kipande cha national park ndio kizuri zaidi kina hata airstrips na sehemu ya kupumzika ndani ya mbuga but at your own risk, N1 ndani ya SA from Beitbridge to waterfront (CPT)almost 2000km hakuna tuta hata moja, kuna fixed speed cameras, na Time fixed cameras, pls NO tutas kwa highways Tanzania yangu zinakera mnoHasa kwa kutembea usiku, ni kichefuchefu.
Jana nimetembea Arusha to Dodoma njia haina matuta ya kipuuzi, njia pana, safi. Kutoka mnada wa nyama pale Dodoma kwenda Iringa hali ikabadilika ghafla utafikiri nimehama nchi nimeingia Sudani.
Hatuna national highyway code ya kuweka utaratibu consistent wa ujenzi wa barabara? Kila mhandisi anajiamulia lake? Matuta hayaongezi gharama za ujenzi? Na zile breki zinazofungwa na heavy trucks linapofikia tuta, hazisababishi barabara kuhitaji kuwa strengthened zaidi ili isitengeneze mawimbi kwenye lile eneo?
Kama unaweka tuta, kibao cha 50 cha nini? Vipi usiku ambapo hakuna pedestrian activity kwenye hilo eneo, hilo tuta lina serve purpose gani?
Mlioshi nchi za wenzetu, wanafanyaje?
Bavaria for president!!,please DON'T DRINK &DRIVE!Na hata kama naendesha mimi na nina mshikaji anakunywa pombe ni bora nimshushe tu.
Hizi pombe, ni vyema mtu aweze kujicontrol. Kwamba huwezi kujicontrol kwa muda mfupi lazima unywe muda wote? Safari ya masaa matatu lazima uangaike na mipombe?
Nashindwa kuelewa kwakweli.
Hii chuma ninayo namba BQT nmeiweka garage kwa ajili ya kusaidia vijana ila nimeielewa sana wallah.Mimi nimetembea Moro to dar 2hrs Nimetoka Mbeya saa 8 mchana nimeingia moro Saa 5 usiku, Saa 7 usiku nishafika dar. tareh 22.
Nilishasahau, kwanini umenikumbusha?[emoji1787]Mkuu hio ukianza safari za mjini Goba posta kila siku utapata maximum 6km/l hapo ndio mgogoro ulipo. Day to day its not economic na bei zetu za mafuta
Halafu niliwahi kusema siku moja.Mpaka unashangaa ule uwoga ulikuwepo juu ya spare za Subaru umeishia wapi?
Shukrani sana; sema hii siku mbaya sana kupiga routeWenzetu wana starehe nyingi sana