Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

I second you.... Walioweka utaratibu wa don't drink and drive wanajua ... Ni hatari sana coz hata in case of accident or injury hutaweza tibiwa mpaka pombe itoke mwilini.
Na hata kama naendesha mimi na nina mshikaji anakunywa pombe ni bora nimshushe tu.

Hizi pombe, ni vyema mtu aweze kujicontrol. Kwamba huwezi kujicontrol kwa muda mfupi lazima unywe muda wote? Safari ya masaa matatu lazima uangaike na mipombe?

Nashindwa kuelewa kwakweli.
 
Hivi Road Engineers wa iringa na njombe hadi mbeya hawana uwezo wa kufuatilia mbali yale matuta?hasa kuanzia mafinga hadi igawa, zile tuta zinanitiaga hasira sana
Hasa kwa kutembea usiku, ni kichefuchefu.

Jana nimetembea Arusha to Dodoma njia haina matuta ya kipuuzi, njia pana, safi. Kutoka mnada wa nyama pale Dodoma kwenda Iringa hali ikabadilika ghafla utafikiri nimehama nchi nimeingia Sudani.

Hatuna national highyway code ya kuweka utaratibu consistent wa ujenzi wa barabara? Kila mhandisi anajiamulia lake? Matuta hayaongezi gharama za ujenzi? Na zile breki zinazofungwa na heavy trucks linapofikia tuta, hazisababishi barabara kuhitaji kuwa strengthened zaidi ili isitengeneze mawimbi kwenye lile eneo?

Kama unaweka tuta, kibao cha 50 cha nini? Vipi usiku ambapo hakuna pedestrian activity kwenye hilo eneo, hilo tuta lina serve purpose gani?

Mlioshi nchi za wenzetu, wanafanyaje?
 
Its craze mkuu, utafikiri hawa engineers wetu wote walitumia issue ya matuta kupata degrees zao,Zambia wameshaondoa almost matuta yote kwenye highways zao,from Kaffe hadi kazungula border,mkeka mzuri mno, tuta kidogo pale mahakama ya mbuzi, Botswana 🇧🇼 kutoka kazungula border hadi Gabs hakuna tuta kabisa pamoja na barabara hii kuwa na more than 300km za national park, na kipande cha national park ndio kizuri zaidi kina hata airstrips na sehemu ya kupumzika ndani ya mbuga but at your own risk, N1 ndani ya SA from Beitbridge to waterfront (CPT)almost 2000km hakuna tuta hata moja, kuna fixed speed cameras, na Time fixed cameras, pls NO tutas kwa highways Tanzania yangu zinakera mno
 
Na hata kama naendesha mimi na nina mshikaji anakunywa pombe ni bora nimshushe tu.

Hizi pombe, ni vyema mtu aweze kujicontrol. Kwamba huwezi kujicontrol kwa muda mfupi lazima unywe muda wote? Safari ya masaa matatu lazima uangaike na mipombe?

Nashindwa kuelewa kwakweli.
Bavaria for president!!,please DON'T DRINK &DRIVE!
 
Mimi nimetembea Moro to dar 2hrs Nimetoka Mbeya saa 8 mchana nimeingia moro Saa 5 usiku, Saa 7 usiku nishafika dar. tareh 22.
Hii chuma ninayo namba BQT nmeiweka garage kwa ajili ya kusaidia vijana ila nimeielewa sana wallah.
20221209_151733.jpg
 
Mpaka unashangaa ule uwoga ulikuwepo juu ya spare za Subaru umeishia wapi?
Halafu niliwahi kusema siku moja.

Wabongo ni kukosa exposure na uthubutu wa kuwa tofauti.

Ila wakiamua wanafanya.

Ukisoma threads za miaka 5 nyuma za Subaru, utashangaa sana. Ila sasa zimetapakaa kila kona.

Tuna ile "fear of unknown" yani tunaogopa kitu tusichokiona. Kitu cha kufikirika.
 
Back
Top Bottom