Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Siye tar 24 Dec. Ilimradi saa 6 usiku wa tar 25 ikukutie milimani tu[emoji28] usafiri kwa binafsi nataman nisipande private car. Nataman sana nipate hiyo leisure ya treni maana last year nilipata wivuu[emoji119] yaan naona kama walikua wanaenjoy sana[emoji23][emoji23].
Sipendelei sana private car kwa route ya dar to kaskazin. I love public. Napata marafiki wapya kabisa kwenye public jaman. Private iwe mizunguko ya kijijini na humo2 kaskazini.
 
Waenda moshi sehem gan tuje tule mbuzi[emoji12]
 
Rock hill ni shida nyingine ile sema napenda nyama yao inakua haina viungo vingi sana....twenden tukahesabiwe
Ndioo. Na kwamfano ukiwahi mapema kabla haijaanza pigwa baridi ni tamu balaaa. Yaan sijawahi boreka kabisa na hii road trip ya kaskazin asilani. Hotel za kumwaga na safi. Ila ya dar ex press ajitahidi jamani[emoji119][emoji119] amefeli wapi??
 
Siye tar 24 Dec. Ilimradi saa 6 usiku wa tar 25 ikukutie milimani tu[emoji28] usafiri kwa binafsi nataman nisipande private car. Nataman sana nipate hiyo leisure ya treni maana last year nilipata wivuu[emoji119] yaan naona kama walikua wanaenjoy sana[emoji23][emoji23].
Sipendelei sana private car kwa route ya dar to kaskazin. I love public. Napata marafiki wapya kabisa kwenye public jaman. Private iwe mizunguko ya kijijini na humo2 kaskazini.
Basi waache wenzio watangulie na private car wewe wafuate na treni
 
Back
Top Bottom