Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah hapa town ndio service ya kwanza coz nilikuwa mkoaniOPA zimeadimika mtaani. Hupeleki kwa yule jamaa yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hapa town ndio service ya kwanza coz nilikuwa mkoaniOPA zimeadimika mtaani. Hupeleki kwa yule jamaa yako?
Mkuu unafanyia wapi service namie nataka niitie mkono OPA GT [emoji16][emoji16][emoji16]
Nafanyiaga EUROPEAN CAR CLINIC kinondoni mkuu
Siye tar 24 Dec. Ilimradi saa 6 usiku wa tar 25 ikukutie milimani tu[emoji28] usafiri kwa binafsi nataman nisipande private car. Nataman sana nipate hiyo leisure ya treni maana last year nilipata wivuu[emoji119] yaan naona kama walikua wanaenjoy sana[emoji23][emoji23].
Sipendelei sana private car kwa route ya dar to kaskazin. I love public. Napata marafiki wapya kabisa kwenye public jaman. Private iwe mizunguko ya kijijini na humo2 kaskazini.
Mkuu/shimbi Rombo mkuu[emoji28]Waenda moshi sehem gan tuje tule mbuzi[emoji12]
Mkuu/shimbi Rombo mkuu[emoji28]
Japo ndo sipendi ndizi. Ila nyama za kuchoma za rock hill pale bana achaa kbs
Ndioo. Na kwamfano ukiwahi mapema kabla haijaanza pigwa baridi ni tamu balaaa. Yaan sijawahi boreka kabisa na hii road trip ya kaskazin asilani. Hotel za kumwaga na safi. Ila ya dar ex press ajitahidi jamani[emoji119][emoji119] amefeli wapi??Rock hill ni shida nyingine ile sema napenda nyama yao inakua haina viungo vingi sana....twenden tukahesabiwe
Basi waache wenzio watangulie na private car wewe wafuate na treniSiye tar 24 Dec. Ilimradi saa 6 usiku wa tar 25 ikukutie milimani tu[emoji28] usafiri kwa binafsi nataman nisipande private car. Nataman sana nipate hiyo leisure ya treni maana last year nilipata wivuu[emoji119] yaan naona kama walikua wanaenjoy sana[emoji23][emoji23].
Sipendelei sana private car kwa route ya dar to kaskazin. I love public. Napata marafiki wapya kabisa kwenye public jaman. Private iwe mizunguko ya kijijini na humo2 kaskazini.
Sawa mkuu. Safari njema kwetu sote panapo Majaaliwaaa.Basi waache wenzio watangulie na private car wewe wafuate na treni
Duh napafahamu hapo!
Ndioo. Na kwamfano ukiwahi mapema kabla haijaanza pigwa baridi ni tamu balaaa. Yaan sijawahi boreka kabisa na hii road trip ya kaskazin asilani. Hotel za kumwaga na safi. Ila ya dar ex press ajitahidi jamani[emoji119][emoji119] amefeli wapi??