Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pale hatar sana mbuzi inakua na pilipili nyingiiii.....na CHANGBAY kuna kuku konki sana
Safari hii ni kula, kunywa na kuenjoy na ntakuwa na vituo vingi sana.

Natarajia kuingia Arusha usiku sana.

Nikifika pale sehemu ya kula mbele ya Kilimanjaro nikae kama masaa matatu nile, nipige vyombo ndo niendelee na safari. Kuna mbuzi safi imeandaliwa pale.

Moshi napiga kambi kama masaa mawili hivi. KIA nako nakutana na mtu.

Ndo naingia Arusha.
 
Mkuu vyombo na safari ndefu inakuwaje? Au unaendeshwa? ILA kuwa na vituo Raha sana wala huhisi urefu wa safari
 
Safari hii ni kula, kunywa na kuenjoy na ntakuwa na vituo vingi sana.

Natarajia kuingia Arusha usiku sana.

Nikifika pale sehemu ya kula mbele ya Kilimanjaro nikae kama masaa matatu nile, nipige vyombo ndo niendelee na safari. Kuna mbuzi safi imeandaliwa pale.

Moshi napiga kambi kama masaa mawili hivi. KIA nako nakutana na mtu.

Ndo naingia Arusha.

Tarehe ngap unapanda mkuu nkujoin
 
I hope itakuwa ya kitabe sana, ninaanzia Marangu, Arusha, dodoma kisha ntarudi dar
ndio raha ya kusafiri na Private, Marangu mtoni unaanza na kiti katoliki, kona ya Dodoma Msalato nyama choma ya mbuzi, mm labda baada ya x-mas ntashuka njia hiyo, nikiiona Forester ntapunga sana mkono na kutoa kichwa nje nione km lile bag jeupe limekauka km lipo tusimame Babati kwa wambulu kuna samaki
 
Samaki samaki au samaki watu?
 
Road Trip zangu ni kama ifuatavyo.

DAR - Arusha-Nairobi - Kampala.

Nikirudi naenda kupumzika ufukweni kidogo then napiga moja ya

Dar- Mwanza - Serengeti.

Mwanza - Manyara - Dar

Dar- Lindi.

Hiyo itakuwa February.
Hapo nambadilishia stabiler link.
View attachment 1650715
Service ndio hapo kwa fundi juma chini ya mwembe!
 
Siye tar 24 Dec. Ilimradi saa 6 usiku wa tar 25 ikukutie milimani tu[emoji28] usafiri kwa binafsi nataman nisipande private car. Nataman sana nipate hiyo leisure ya treni maana last year nilipata wivuu[emoji119] yaan naona kama walikua wanaenjoy sana[emoji23][emoji23].
Sipendelei sana private car kwa route ya dar to kaskazin. I love public. Napata marafiki wapya kabisa kwenye public jaman. Private iwe mizunguko ya kijijini na humo2 kaskazini.
bora RRONDO akupe lift akushushe Himo njia panda, Treni siku hizo wanawawekea na breweries, ndani ni lazima mtakolewa na kilevi isije ikawa km ile Meli ya Mv BK
Usafiri wa Private mzuri ukipata lift mradi masharti jamaa akisimama Mombo usikatae kilagi na kulala Same hata kwenye gari kuvunja seat tu ndio raha za P/car
 
Back
Top Bottom