Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 510
- 871
Pale Hugos nilikula Mbuzi Vitunguu.
Ilikuwa mwezi uliopita.
Narudi tena kabla sijapandisha arusha.
Pale hatar sana mbuzi inakua na pilipili nyingiiii.....na CHANGBAY kuna kuku konki sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Hugos nilikula Mbuzi Vitunguu.
Ilikuwa mwezi uliopita.
Narudi tena kabla sijapandisha arusha.
Safari hii ni kula, kunywa na kuenjoy na ntakuwa na vituo vingi sana.Pale hatar sana mbuzi inakua na pilipili nyingiiii.....na CHANGBAY kuna kuku konki sana
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]All the best
Mkuu vyombo na safari ndefu inakuwaje? Au unaendeshwa? ILA kuwa na vituo Raha sana wala huhisi urefu wa safariSafari hii ni kula, kunywa na kuenjoy na ntakuwa na vituo vingi sana.
Natarajia kuingia Arusha usiku sana.
Nikifika pale sehemu ya kula mbele ya Kilimanjaro nikae kama masaa matatu nile, nipige vyombo ndo niendelee na safari. Kuna mbuzi safi imeandaliwa pale.
Moshi napiga kambi kama masaa mawili hivi. KIA nako nakutana na mtu.
Ndo naingia Arusha.
Safari hii ni kula, kunywa na kuenjoy na ntakuwa na vituo vingi sana.
Natarajia kuingia Arusha usiku sana.
Nikifika pale sehemu ya kula mbele ya Kilimanjaro nikae kama masaa matatu nile, nipige vyombo ndo niendelee na safari. Kuna mbuzi safi imeandaliwa pale.
Moshi napiga kambi kama masaa mawili hivi. KIA nako nakutana na mtu.
Ndo naingia Arusha.
Sure, Ila lami ya kusini huku ina changamoto za mashimo.All the best mkuu...uzuri siku hizi lami kwa lami
ndio raha ya kusafiri na Private, Marangu mtoni unaanza na kiti katoliki, kona ya Dodoma Msalato nyama choma ya mbuzi, mm labda baada ya x-mas ntashuka njia hiyo, nikiiona Forester ntapunga sana mkono na kutoa kichwa nje nione km lile bag jeupe limekauka km lipo tusimame Babati kwa wambulu kuna samakiI hope itakuwa ya kitabe sana, ninaanzia Marangu, Arusha, dodoma kisha ntarudi dar
Samaki samaki au samaki watu?ndio raha ya kusafiri na Private, Marangu mtoni unaanza na kiti katoliki, kona ya Dodoma Msalato nyama choma ya mbuzi, mm labda baada ya x-mas ntashuka njia hiyo, nikiiona Forester ntapunga sana mkono na kutoa kichwa nje nione km lile bag jeupe limekauka km lipo tusimame Babati kwa wambulu kuna samaki
Service ndio hapo kwa fundi juma chini ya mwembe!Road Trip zangu ni kama ifuatavyo.
DAR - Arusha-Nairobi - Kampala.
Nikirudi naenda kupumzika ufukweni kidogo then napiga moja ya
Dar- Mwanza - Serengeti.
Mwanza - Manyara - Dar
Dar- Lindi.
Hiyo itakuwa February.
Hapo nambadilishia stabiler link.
View attachment 1650715
mm nitapitia Makao mapya Arusha, pale kuna samaki watu wa chap chap, Babati nitampoteza jamaa ngoja nikamdondoshee Dodoma kwa Wabunge wa Covid 19 najua ndio level yake akimaliza mwaka atinge zake DarSamaki samaki au samaki watu?
bora RRONDO akupe lift akushushe Himo njia panda, Treni siku hizo wanawawekea na breweries, ndani ni lazima mtakolewa na kilevi isije ikawa km ile Meli ya Mv BKSiye tar 24 Dec. Ilimradi saa 6 usiku wa tar 25 ikukutie milimani tu[emoji28] usafiri kwa binafsi nataman nisipande private car. Nataman sana nipate hiyo leisure ya treni maana last year nilipata wivuu[emoji119] yaan naona kama walikua wanaenjoy sana[emoji23][emoji23].
Sipendelei sana private car kwa route ya dar to kaskazin. I love public. Napata marafiki wapya kabisa kwenye public jaman. Private iwe mizunguko ya kijijini na humo2 kaskazini.