Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Gx 100 iko vyema niliwahi safiri nayo 2018 mara tatu ya brother wangu Dar-Songe,Songe-Iringa halafu tukaenda Iringa-Dom-Dar .

Iko vyema sana..sema jamaa alipiga nayo mzinga alivyorekebisha akauza.
Kwa miaka saba nimezunguka nayo karibu mikoa yoote ya iliyokuwa Tanzania ya zamani(ya mikoa 24)mbali ikienda Dar -Kigoma mara nne,Dar-Bukoba mara moja,Dar -Songea mpaka Mbaba bay mara mbili.Mpaka hapa ilipofikia sijutii kuwa nayo na nitabaki nayo labda watoto waje waiuze nitakapokufa
 
Hio
Sasa hivi hata kwa 2-4 unaipata tena kwa 4 inakuwa imesimama haswa.....Na hicho ndo kilifanya nishindwe kuuza yangu.Jinsi ninavyoimantain kwa gharama halafu soko halitambui lenyewe linarate kwenye hizo figures za 2-4mil ......bora ibaki ndani baada ya watoto woote sita wameshajua gari kwa kupitia machine hiyo naona ni bora nifuate wazo lako mpaka iwe classic
8-9m nazungumzia Crown
 
Aisee siku moja niliona chaser namba C ilikua mkasi kishenzi halafu jamaa alikua anauza 4.8M sidhani kama ilitoboa mwezi ile gari maana sijaiona tena Kupatana.
January na February pia ni muda mzuri wa kununua gari, mtu anatoka kijijini kwao kula xmas, anarudi mjini anakuta Mwenye apartment yake anataka kodi, mwenye ule shule ya Niniliu English Medium naye hacheki anataka ada zake, basi hapo wale wasiofikirisha vichwa, huwa wqnasukuma ndinga kalinsana kwa bei za kutupwa..[emoji125][emoji125][emoji28]
 
Back
Top Bottom