Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Na bike yake ina uwezo mkubwa sana. Tena asingekutana na mvua ilikuwa ni Masaa machache zaidi.Duh we kiboko ,na Afya pia unayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bike yake ina uwezo mkubwa sana. Tena asingekutana na mvua ilikuwa ni Masaa machache zaidi.Duh we kiboko ,na Afya pia unayo!
Hapo Sawa itatulia labda hujampata fundi sahihi.Mi nimetoa 1jz na kuweka 1g
Piki piki fasta bro,uwa hairembi kaka,kwa foleni ya dar nataka nitafute 🏍,hata saa 1 jioni ikinikuta mkunguni kwa fundi ali basi 1:40 niwe nishatimba kitaa pande za kifuru 😃Mgagaa na Upwa umeona mwamba katumia bike kutembea 1236 km Kwa siku.
Na hakika sijapata fundi sahihiHapo Sawa itatulia labda hujampata fundi sahihi.
Hapo sawa maana hata wiring ya 1jz na 1g haipishani sanaMi nimetoa 1jz na kuweka 1g
Kwa miaka saba nimezunguka nayo karibu mikoa yoote ya iliyokuwa Tanzania ya zamani(ya mikoa 24)mbali ikienda Dar -Kigoma mara nne,Dar-Bukoba mara moja,Dar -Songea mpaka Mbaba bay mara mbili.Mpaka hapa ilipofikia sijutii kuwa nayo na nitabaki nayo labda watoto waje waiuze nitakapokufaGx 100 iko vyema niliwahi safiri nayo 2018 mara tatu ya brother wangu Dar-Songe,Songe-Iringa halafu tukaenda Iringa-Dom-Dar .
Iko vyema sana..sema jamaa alipiga nayo mzinga alivyorekebisha akauza.
8-9m nazungumzia CrownSasa hivi hata kwa 2-4 unaipata tena kwa 4 inakuwa imesimama haswa.....Na hicho ndo kilifanya nishindwe kuuza yangu.Jinsi ninavyoimantain kwa gharama halafu soko halitambui lenyewe linarate kwenye hizo figures za 2-4mil ......bora ibaki ndani baada ya watoto woote sita wameshajua gari kwa kupitia machine hiyo naona ni bora nifuate wazo lako mpaka iwe classic
Umetisha!View attachment 1659347
Mnyama kasafiri km 930 amefika salama anapumua🎅😉😉😃
Itafika tu mkuu....miaka ya 2007 mwishoni na 2008 GX 100 zilisumbua sana....yaani ilikuwa unaporwa demu wako hivi hivi ukiona...Nasubiri ifike na mimi nisafishe nyota
Nilijua tu lazima uwe mkanja Bhuro! wabhinaki waitu?? Maweee!!! yagenda na biratuuu!!!Yeah..
January na February pia ni muda mzuri wa kununua gari, mtu anatoka kijijini kwao kula xmas, anarudi mjini anakuta Mwenye apartment yake anataka kodi, mwenye ule shule ya Niniliu English Medium naye hacheki anataka ada zake, basi hapo wale wasiofikirisha vichwa, huwa wqnasukuma ndinga kalinsana kwa bei za kutupwa..[emoji125][emoji125][emoji28]Aisee siku moja niliona chaser namba C ilikua mkasi kishenzi halafu jamaa alikua anauza 4.8M sidhani kama ilitoboa mwezi ile gari maana sijaiona tena Kupatana.
Hata usome vipi hii haitokimtu anatoka kijijini kwao kula xmas,
Upo Bumbuli nikutafute?
DVAHuwa tunaona tunachotaka kuona na kuelewa vile tunavyotaka kuelewa.
Kwa crown sawa,mi nilifikiri ni kwa gx100Hio
8-9m nazungumzia Crown