Pichukodada
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 480
- 348
poree ya nini waitu! siumwi aki ya mama suimwi ni bhisuriiPole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poree ya nini waitu! siumwi aki ya mama suimwi ni bhisuriiPole sana.
Masasi! 😂😂😂 ila huwa sipaoni kama route ndefu, ruti ya masaa matano imeisha!!Mtoa mada kama ulikuwepo vile maana wiki ijayo naanza Safar ndefu ya Kwenda Masasi na Rumion namba DUN yaani sina haja ya kupima wheel alignment wala kumwaga oil kwasabb chombo kimefanyiwa service wiki mbili zilizopita
ziko wapiSasa si ushasema maskini unachoshangaa nini? Tafuta story za matajiri wenzio.
Iwe acha misifa ya kishamba hiyo bana!! wewe ndo ukatafute huko rukunyu!! mtuache sisi matajiriTafuta walipo matajiri huwezi kuzipata huku Kwa masikini.
Kusini broMkoa gani huo boss
Good pande zangu hizo kwa MkapaHapana, niko Mkuzi.
Mkuru wange waitu!! Nshomile mpaka no class a head!! nchonka! unyabhire bhabha waitu!!Dogo ukikua utaacha.
Duh kazi ipo.Mkuru wange waitu!! Nshomile mpaka no class a head!! nchonka! unyabhire bhabha waitu!!
Unaikara kaa wapi kwansa?? !!! no manyaaa!! chonka a moment nabha ninkugambira bouana but!! sidhani km uko Bongo Land weye? any way km utakuwa nje ya nchi nitashangaa sana kwa kweri tena muun o!!! kama uko! Mwansaa pansiasi kidogo uko sawa, najua kamunyonge hutakanyaga watakuwuwa!
sijui Arusha, Moshi a!aa nitaduwaaa! .. munoo!! hivi uuu wii masifa hamuachagi?? wewe huoni hizi zako ni sifa, mbona mimi na sky lat tuna miliki Beattle za kisasa! umewahi kutusikia?
sasa tena wewe nakuhurumia unaendesha na ridude rimke hapo pembeni rinakuangaria usoni huoni aibu bhabha?!! ukigonga je!
But kama uko, Mugeza, rukunyu, Kanyigo aaaa!!! maweee!! utaingia na bhiratu rasimaa .... ira njoo! nikukopeshe kwa bei nafuu nayo mengi sana!
kazi zipo mkuruDuh kazi ipo.
Badili fundi hizo injini za 1G hazina magonjwa ya ajabu ajabu, fundi yoyote anaifunga hazina complications.Na hakika sijapata fundi sahihi
Kuna pikipiki ukiwa nayo ni heshima hata wale wa Ist na Vits wanakuheshimu, traffic na wengine kamwe hawatokusimamisha kizembe.Piki piki fasta bro,uwa hairembi kaka,kwa foleni ya dar nataka nitafute 🏍,hata saa 1 jioni ikinikuta mkunguni kwa fundi ali basi 1:40 niwe nishatimba kitaa pande za kifuru 😃
We si utuache na umasikini wetu wa vigari gari..?[emoji28][emoji28]Story za Maskini bwana wanawaza tugari gari tuuu!!! kwa nini sasa? shida yooote hiyo? mara ukwepe vichaa!! mara ulale uswahili tyres zote hkn.
Tena si ya kitotoDuh kazi ipo.
Kweli kabisa mkuuKuna pikipiki ukiwa nayo ni heshima hata wale wa Ist na Vits wanakuheshimu, traffic na wengine kamwe hawatokusimamisha kizembe.
Hizi Boxer,Tvs,Sanlg zimekuwa sare sare hata ikiwa private wao wanajua wewe boda boda.
Kwan Kuna nini kinaendelea [emoji23][emoji23]Duh kazi ipo.
Toa uchoko hapaMkuru wange waitu!! Nshomile mpaka no class a head!! nchonka! unyabhire bhabha waitu!!
Unaikara kaa wapi kwansa?? !!! no manyaaa!! chonka a moment nabha ninkugambira bouana but!! sidhani km uko Bongo Land weye? any way km utakuwa nje ya nchi nitashangaa sana kwa kweri tena muun o!!! kama uko! Mwansaa pansiasi kidogo uko sawa, najua kamunyonge hutakanyaga watakuwuwa!
sijui Arusha, Moshi a!aa nitaduwaaa! .. munoo!! hivi uuu wii masifa hamuachagi?? wewe huoni hizi zako ni sifa, mbona mimi na sky lat tuna miliki Beattle za kisasa! umewahi kutusikia?
sasa tena wewe nakuhurumia unaendesha na ridude rimke hapo pembeni rinakuangaria usoni huoni aibu bhabha?!! ukigonga je!
But kama uko, Mugeza, rukunyu, Kanyigo aaaa!!! maweee!! utaingia na bhiratu rasimaa .... ira njoo! nikukopeshe kwa bei nafuu nayo mengi sana!
hahahaaa mie huwa napiga mkono tu nikiona pikipikiKuna pikipiki ukiwa nayo ni heshima hata wale wa Ist na Vits wanakuheshimu, traffic na wengine kamwe hawatokusimamisha kizembe.
Hizi Boxer,Tvs,Sanlg zimekuwa sare sare hata ikiwa private wao wanajua wewe boda boda.