Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
[emoji23][emoji23][emoji23] mwezi uliopita niacha Hardbody Lindi huko. Ukusikiza unataka I wanaoendesha Toyota ndio hiyo siku nikiwatamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujapishana na China moja ya mjerumani usiku?Ndio nimepaki asante mjapani yangu. Haikuwa rahisi from Uyole saa 11 na dkk 15 mpaka saa 1 dkk 15 asubuhi!
[emoji1][emoji1][emoji1]we acha tu....Nimetaka na kucheka ila nimejizuia nashindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu. Poole sana aisee. Halaf arusha express lilivyo bovu sasa. Hapo wanaambiana na konda nimempelekea moto akome next time. Yaan i feel u na nilivyo muoga. Nawaheshimu sana wenye ujasiri wa kuendesha magari na hawa watu. Sithubutu. Na unq ujasiri aisee. Ingenichukua muda kweli.
Nakuambia wiki nzima nilikuwa sina raha ya kuendesha barabarani...masikioni nasikia tu kile kishindo...Unatamani umrudie...mimi nilijisemea nikikuta Askari wa barabarani karibu nasimama nawaambia kilichotokea wang'ang'anie huko mbele. Na ningewaambia wale askari taarifa hii naifikisha kwa mkuu wenu....bahati yake sikukutana na askari maeneo ya karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nimefika. Lijiwe kizuri sana.Ni moja ya nyuzi bora
Mie nishapata kijiwe kipya hapa
Mmhh hiyo milima ya manyara sijawahi kupita! Ila yenyewe siyo giza totoro ni mawingu tu meupe ambayo yanakuwezesha kuona mbele yako kidogo siyo giza kabisa!Ni yale mawingu kama ya ile milima ya kule manyara?? Yaan giza totoro la wingu?
Yaani kwa ujumla basi lolote si salama kabisaa kwa gari ndogo...Hata Kilimanjaro Express nazo! Hao ni kwenda nao sambamba tu!
Yeah kwangu mimi naona hizo ndiyo kazi! Hasa kama hauna majukumu mengi!Good. Atleast unawaelewa
Bonge bongeee...[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna tochi bana.
Labda ile ya kutokea USA river, nishawahi kuipita afu sio nzuri hata kama ile ya kule kwa kina bonge [emoji23] ya kina bonge tamu.
Aminaaa...Nashukuru Mungu sijawahi
Hili basi la Esta hili....kuna mtu limeshamkera huko juu.... mpaka akaliita Liesta..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapa ndo huwa natamani kuwa konda,
kuna time napandaga tu Esta nashuka Kwa Mathias narudi
zile ligi huwa zinanipa Raha sana...Ila likitokea La kutokea basi tena
Kuna Siku mlandizi ilikuwa sauli,New Force na Dar lux ...ile ligi hatari nilitamani nikapande sauli nishuhudie Mtu anavyopigwa vumbi
Dooh hadi sasa nimetembelea mikoa kama kumi na kitu hivi ila hata nusu sijafika! Na nchi yetu hii mikoa inazidi kugawanywa kadiri miaka inavyozidi kwenda!Karibu sana. Umesha tembelea . Koa gani na gani?
Umeona enh[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nimefika. Lijiwe kizuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole mnooo. Mshenz sana huyo aisee. Me nakuambia konyagi ndo inaletaga yote haya[emoji1][emoji1][emoji1]we acha tu....
Ilikuwa hivi...sote tunaelekea Arusha, mbele kuna fuso linaenda taratibu,Nyuma ya fuso kuna Arusha Express na nyuma ya hili basi nipo mimi..
Fuso lina mzigo kwa hiyo mwendo ulikuwa kama speed 70 hivi...mazingira yakaruhusu kuovateki, nikakiamsha kikafika 110 kph nikaanza kulipita basi, nilipofika usawa wa dereva wa basi akanigeukia, naye akalitoa ili alipite lile fuso....basi tu niliishia kutolewa nje ya bara bara...jamaa akanipigia tu mahoni...mimi huku gari limeparamia kaukingo kadogo ka kalavati, wakati huo wheelcape imeruka kule, wiper zimewaka zenyewe....
Yaani yule fala yule...
Sina hamu na mabasi..
Nimecheka wakati naandika bonge.Bonge bongeee...[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku tumepita kule na Noah kuna tochi za kuviziana....
Bora hii ya Usa to Town tumeshajua blind spots za polisi wanazozipenda.....[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] now u have a twin sister. Nimevaa sana nguo za kiume mm. Ila am being a woman siku hizi.[emoji23] sema ndo mambo hayo kuuza sketi na blauzi sina. Nahamia shamba na trekta nitakua dere mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] huko hamna ligi. Nalikokota hadi kieleweke. Na mnisamehe tu... hata gari sitaki dogo nataka gari za kupita kwenye mawe makubwa hiko porini.Daah i see me in you! Yaani umenielezea mimi kabisa!
Mimi na mambo ya urembo tofauti! Naweza nikaenda sahemu nimepiga zangu long sleeved shirt halafu nimekunja mikono au t shirt na suruali au kaptura na kofia sijabeba pochi wala sijui nini simu na wallet vyote viko mfukoni halafu sina habari!
Basi watu wakinionaga hivyo wanajuaga mie mjeda yaani siyo mara moja wala mara mbili huwa naulizwa wewe ni mwanajeshi! Na kusema ukweli jeshi nalitamani!
Sie kwetu wote tumezaliwa wa kike ila mie ndiyo nina sura ya mdash copyright ananiitaga twin! Basi yeye ndiyo kanirithisha kupenda vitu vya kiume na utunduutundu!
Kibaya zaidi nipe kazi yoyote hata kulima lakini siyo kupika yaani sijui kwanini! Linapokuja kwenye kazi za ndani mi ni mvivu mno ila niambie zile kazi ngumu ngumu sasa!
Na ndiyo maana hata natamani jeshi sababu pia ndiyo kazi itakayonitaka nivae suruali za magwanda na kofia muda mwingi vitu ambavyo napenda! Kazi za kukaa maofisini kuvaa vimini na viblouse sijui kuvaa mawigi na kujiremba zitanishinda wallahi!
Kule manyara ni giza kweli. Na sitaman kabisa kusafiri kipindi hicho. Si wakumbuka hata zile school bus za lucky vicent ziliuaga kipande hicho? Dereva hakua anajua akawa anatembea na Yesu tu basi yesu akampokeaMmhh hiyo milima ya manyara sijawahi kupita! Ila yenyewe siyo giza totoro ni mawingu tu meupe ambayo yanakuwezesha kuona mbele yako kidogo siyo giza kabisa!
Weeee. Achaaa[emoji119][emoji119]Yaani kwa ujumla basi lolote si salama kabisaa kwa gari ndogo...
Hii barabara yetu ya kaskazini, mabasi yanayotoka Arusha kwenda Dar au Dar Arusha....yana fujo sana kwenye kipande cha Arusha mpaka Himo njia panda.......
Mtu ukishachagua career yako ndo hiyo bana. Hatunaga mambo mengi sisi.Yeah kwangu mimi naona hizo ndiyo kazi! Hasa kama hauna majukumu mengi!