Ngoja niiende kwa mganga, abane hivyo hivyo hadi ishueke ifikie 6 million.. maana nao jamaa wale wajinga sana , ukiepeleka gari yako wanaanziaga 5 million hata kama gari ina vakue ya 15 million na huwa kama wanaitia mikosi yani, huto iuza sehemu ingine hadi uirudishe pale [emoji3][emoji3][emoji3].. na mie naenda kuwachomea .. [emoji2][emoji2][emoji2].. iwe ngoma draw.. bado nauchungu niliuza gari yangu 7 million.. na huku nilitakiwa niuze million 18 au 17.. ila sijui waliitia nuksi gani, alafu madalali wote wakaijua.. ikawa kama tangazo