Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia nzima ukimbia 200kph?
Taibali,Wakati baba yake amebaki kwenye juice yeye mapema akakimbilia kkoo kuanzisha biashara ya nguo pale kwenye jengo la mzee Rupia
Hilo jina linafukua kumbukumbu zangu za utotoni enzi hizo za upanga
Pia nimemshangaa na kushindwa kumuelewaKwamba Crown haipitwi au?
Whitching hour 😁 😁 🙌 🙌'.....I am an early riser anyway, and at 3 am the roads are empty and quiet, one can be alone with one's thoughts. I like to see the coming of dawn, the change between night and day, which is always majestic. It was also a convenient hour for departure because the police were usually nowhere to be seen' By Nelson Mandela on road trip!
Kwendana na masimulizi ya wahenga,bora tu nichelewe na kukutana na Traffic. 4AM it's good for me.Muda mzuri sana wa kulianzisha...jua likichomoza uko mbali sana
Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.
Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake
Cayenne zinatengenezwa na Porsche ambaye ni mjerumani.Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.
Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake
Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.
Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake
View attachment 1687796
Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.
Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.
Usijaribu kufuata moto wake.
TRA Wanakusalimia hapo juu.
Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
Kuna GT moja watoto wa Kihindi huwa wanaichezea huku Toure drive ni balaa. Jioni huwa I'm jogging along Toure drive hawa watoto mmoja ana Cayenne namba C, mwingine ana VX V8 nayo namba C huwa wanafukuzana. Porsche mbele VX inajokongoja nyuma. Wanaweza kunipita hata mara tatu.Cayenne zinatengenezwa na Porsche ambaye ni mjerumani.
Kuna Cayenne, Cayenne S, Cayenne GTS, Cayenne Turbo, Cayenne Turbo S.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Hapa imeshuka sana,miaka miwili nyuma ilikuwa inacheza kwenye 70m ushuru wakati ilikuwa inauzwa $10,000-15,000(used za 2009 hivi)View attachment 1687796
Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.
Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.
Usijaribu kufuata moto wake.
TRA Wanakusalimia hapo juu.
Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
3.8L ni balaa kushinda hii ya 4.8L,kuna 3.8L moja niliiona CNN iligonga ukingo wa barabara na kuangukia juu ya paa la nyumba- la one storey building.View attachment 1687796
Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.
Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.
Usijaribu kufuata moto wake.
TRA Wanakusalimia hapo juu.
Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
Sasa huo ushuru woote huo.......naona ni kudumisha chuki tuu ila watu wasiagizeHapa imeshuka sana,miaka miwili nyuma ilikuwa inacheza kwenye 70m ushuru wakati ilikuwa inauzwa $10,000-15,000(used za 2009 hivi)