Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

'.....I am an early riser anyway, and at 3 am the roads are empty and quiet, one can be alone with one's thoughts. I like to see the coming of dawn, the change between night and day, which is always majestic. It was also a convenient hour for departure because the police were usually nowhere to be seen' By Nelson Mandela on road trip!
 
Whitching hour 😁 😁 🙌 🙌
 
Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.

Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake

IMG_9571.jpg

Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.

Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.

Usijaribu kufuata moto wake.

TRA Wanakusalimia hapo juu.

Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
 
Cayenne zinatengenezwa na Porsche ambaye ni mjerumani.

Kuna Cayenne, Cayenne S, Cayenne GTS, Cayenne Turbo, Cayenne Turbo S.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Porsche hiyo mzee baba..hiyo chuma hufuati hata ilipopitia.

German machine
Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.

Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake
 
Mkuu usimalize unaniumiza moyo wangu...

Mashine za kijerumani zinaninyima usingizi
View attachment 1687796
Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.

Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.

Usijaribu kufuata moto wake.

TRA Wanakusalimia hapo juu.

Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
 
Cayenne zinatengenezwa na Porsche ambaye ni mjerumani.

Kuna Cayenne, Cayenne S, Cayenne GTS, Cayenne Turbo, Cayenne Turbo S.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Kuna GT moja watoto wa Kihindi huwa wanaichezea huku Toure drive ni balaa. Jioni huwa I'm jogging along Toure drive hawa watoto mmoja ana Cayenne namba C, mwingine ana VX V8 nayo namba C huwa wanafukuzana. Porsche mbele VX inajokongoja nyuma. Wanaweza kunipita hata mara tatu.
Siku ambayo nilisema hela ni nyoko niliwakuta wamepaki mbele Cayenne,Infinity ile kama Y62 na hio VX V8 wanazikagua nikasema wacha tutafute pesa hata wajukuu wafanye hivi!
 
View attachment 1687796
Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.

Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.

Usijaribu kufuata moto wake.

TRA Wanakusalimia hapo juu.

Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
Hapa imeshuka sana,miaka miwili nyuma ilikuwa inacheza kwenye 70m ushuru wakati ilikuwa inauzwa $10,000-15,000(used za 2009 hivi)
 
View attachment 1687796
Ni Porsche Cayenne hio,Bongo Cayenne zilizojaa ni non-turbo na hizi zinauzwa pesa ya kawaida tu huku be forward mfano Cayenne ya 2008 inauzwa $6,300 ila mchawi ni TRA tu.

Hizo Cayenne turbo ukikutana nayo hata usijisumbue kuifuata,mfano Cayenne turbo 2008 model hio ni twin-turbo,4.8l,V8,inatoa 500 horsepower.

Usijaribu kufuata moto wake.

TRA Wanakusalimia hapo juu.

Na pia Audi Q7,Touareg,Cayenne hao ni ndg wa damu.
3.8L ni balaa kushinda hii ya 4.8L,kuna 3.8L moja niliiona CNN iligonga ukingo wa barabara na kuangukia juu ya paa la nyumba- la one storey building.
 
Back
Top Bottom