Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Dah....Pamoja na mabeberu kuipiga vita hii Suzuki Jimny Sierra...lakini kwa misele ya town....bado ni chaguo la wanyonge..hasa wabahili [emoji2960]
2019-Suzuki-Jimny-auto-suv-green-1200x800p(13).jpg
 
Wuuhuuuuu now you are talking..... [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Aaaiiiilaaaavuuuuyuuuuuuuu aaahahahahahahaaaa

Utafikiri umeniuliza will you marry me .....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kabla hujamaliza mie nshamema Yeeeeeeesssssssa na kidole nshakiweka mdomoni kwako ili univalishe pete kwa lips. (Naipenda hii kupima kama mwanaume anaweza kulenga penyewe au mpaka apekeche pekeche na kupekenyua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38])
Well bangi za Kasie hizi achana nazo.

About Valentine trip, if this is serious please let’s go chemba sipendi nzi wengi. Najua hii habari itafatiliwa na wengi na mie nataka tuende trip na kurudi salama [emoji39].

Let’s go inbox please, my answer is yes.

Yaani am exited utasema nimemaliza deni la vikoba [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Sema we dada unaongea aisee, yaani nikisomaga comments zako huwa naburudika sana.[emoji91][emoji38]
 
Ujue mi kujivunga siwezi.....

Utashangaa tuu nimejaa humo ndani ac nimeweka low halafu nimebonyeza kitufe cha hazard nikimaanisha watumiaji wengine wa barabara wachukue tahadhari maana nimo ndani ya chombo kama abiria.....😜 anything can happen anytime 😋😋

Niko full packed na matunda damu yangu, hata kama huyapendi jiandae kulishwa 😅.

Kusema umetoka kusafisha njia ya Valentine day trip ama umetoka kuchakaza....🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️😉
 
Hii ni warm up kucheki kama Vitz yangu iko tayari kwa safari
 
No, it's supercharged. Vipi ilikuwa na kaupinzani?
I felt like he was trying to match ila low end power hana kwahiyo nilipotangulia mimi nikianza overtakes anapotea kwenye side mirror. Anakuwa hana uwezo wa kuimatch overtake yangu na kurudi safely coz ya torque

But kuna stretch nilimtanguliza nimfollow from behind, nikamwacha achochee, tukawa tuna cruise at around 175kmph. It just takes him too long to get there. Am not sure if he was incapable or unwilling of doing more.

Mi navyoona road trips za kibongo bongo the car with the bigger engine / higher torque ( low end power) rules kwasababu you spend a lot of time accelerating to safely complete overtakes and its easier with such engines.

Kuna baadhi ya overtake especially when kuna gari inakuja upande wa pili dereva mwenye injini ndogo hawezi kuthubutu ila chuma ya 3000+cc unazipiga bila wasiwasi na unaimaliza mapema tu unaendelea na safari unamwacha mtegemea turbo nyuma anahangaika kusubiri upenyo wa kuovertake.

Most tech kama forced induction come into play at higher revs lakini huku chini displacement rules.

Kuna quick cars na fast cars. You need a quick car to rule road trips on public highways. You need a fast car to rule race tracks.
 
Uko right. Stop start bigger engine iko superior. Na stop start ziko nyingi mfano matuta au mkikuta malori kabla ya kuovateki hapo mwenye nguvu ana advantage. Big engines ni quick cars, smaller engine za Kijerumani ni fast cars zinahitaji long stretch kuonesha umwamba.
Ndio maana nikikutana na Crown au yoyote yenye cc2500+ kama sehemu sio ndefu sihangaiki nae mpaka nione kuna long stretch ndio naanzisha ugomvi
 
Back
Top Bottom