Kanuni yako umesema u neva go beyond 130Kph, umbali tunaousema hapa ni almost 200Kms wachilia mbali condition ya barabara (mabonde mabonde) yale, kuna vimji ya hapa na pale Maili 1, Picha ya Ndege, Kongowe, Mkuza, Mlandizi, Chalinze ndio unapumzikia kwenye 80 huko mbele kina Mdaula sijui Msoga n.k unapita na 100 fresh tu kupozea kwenye matuta tu lakini bado less than 2 Hrs ni almost impossible. Mchawi ni condition ya barabara. Kutoka Moro - Dom ama Iringa kwa umbali huo huo ni stori nyingine kabisa
Sent from my SM-J730F using
JamiiForums mobile app