Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,740
wanamatatizo sana,Dar to Mlandizi Traffic wanamka Saa 10:45 alfajiri kwahiyo jiangalie sana
wamenisimamisha saa 11 wakati narudi dar na vitochi vyao.
Bahati nzuri nilipakia mjeda kutokea chalinze, ndo ikawa gate pass yangu ya kutopoteza muda