Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mkuu! Hata Mtwara kuna ufukwe unaitwa Msimbati Beach it is also one of the best beaches in Tanzania yaani unaeza jihisi uko Maldives mzae!Hivi kuna yeyote amewahi visit Kilwa humu? I hear ni one of good destinations less visited, with historical sites na fukwe saafiii, plenty of sea foods kwa wapendao. Anybody to share experience?
Pamoja na kuwa na beaches nzuri kama Taifa hatujafanya vizuri sana kwenye eneo hili kiutalii. Kuanzia Tanga City, Pangani, Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Kilwa, Lindi, Mtwara .....Sure mkuu! Hata Mtwara kuna ufukwe unaitwa Msimbati Beach it is also one of the best beaches in Tanzania yaani unaeza jihisi uko Maldives mzae!
Yes sijui kwanini tumejikita sana kwenye national parks na historical sites pekee halafu tumesahau hizi other resources like beaches and co.! Wenzetu kule Zanzibar utalii wa fukwe tu unawaingizia Pesa nyingi kuliko natural resources nyingine zozote siyo North, South, East wala West kote wamewekeza!Pamoja na kuwa na beaches nzuri kama Taifa hatujafanya vizuri sana kwenye eneo hili kiutalii. Kuanzia Tanga City, Pangani, Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Kilwa, Lindi, Mtwara .....
Mkoa gani huu? Huku kwa Kunenge 1,981/-Basi hii wiki sijaweka mafuta kabisa,leo nimeenda kuongeza mafuta nikakuta uchumi wa kati umetamalaki.[emoji26][emoji26][emoji26]
Kumbe walipandisha Juzi jumatano...View attachment 1718155
Arusha..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Mkoa gani huu? Huku kwa Kunenge 1,981/-
It is also one of those less visited beaches kama huko Kilwa tu. Lakini ni kati ya fukwe nzuri sana mbele bahari halafu nyuma kijani kibichi kimetawala.Kweli? Nimefika mtwara sikusikia hata wakizungumzia hio beach.
Nime Google nimeona iko Mikindani ni maarufu kwa hotels nzuri. Hata ukiwa mtwara wanaizungumzia Mikindani kama sehemu ya bata.It is also one of those less visited beaches kama huko Kilwa tu. Lakini ni kati ya fukwe nzuri sana mbele bahari halafu nyuma kijani kibichi kimetawala.
Ila nafikiri ndiyo kama hivyo alivyosema mkuu hapo juu kuwa kama taifa kwenye eneo hilo hatujafanikiwa sana. Nadhani hatujajitangaza ile vya kutosha.
Au pengine labda watu wanapenda zile beaches ambazo ziko mjini zilizochangamka kama Dar au Tanga. Mbele bahari halafu nyuma mji mkubwa na makazi ya watu.
Lakini sehemu kama Bagamoyo, Mtwara, Pangani na Lindi kuna fukwe nzuri sana. Hiyo Msimbati unaweza hata kugoogle uone mandhari yake.
Yes, Mikindani sehemu inaitwa old boma.Nime Google nimeona iko Mikindani ni maarufu kwa hotels nzuri. Hata ukiwa mtwara wanaizungumzia Mikindani kama sehemu ya bata.
Moro to Kilombero full lami mwanzo mwishoHa ha ha hivi huko Kilombero njia ikoje?! Usije kuwa njia ya vumbi km20 unaenda dakika 40!
Kilombero to Ifakara ni Vumbi tukwa mizunguko yote nilio sema mpaka nafika moshi??? yaaani DAR-IFAKARA-IFAKARA TO MOSHI
Yea, mimi nimeshawai fika kilwa masokoHivi kuna yeyote amewahi visit Kilwa humu? I hear ni one of good destinations less visited, with historical sites na fukwe saafiii, plenty of sea foods kwa wapendao. Anybody to share experience?
Sio gari inanuka uvundo.
Huwa sitoi tips petrol station. Labda kuwe na specific issue.
Easter long weekend Kasie tunaenda wapi?!! Siku tano zote kweli tusipige trip?!
Sijawahi kufika nasikia kuzuri kitalii.