Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi kuna yeyote amewahi visit Kilwa humu? I hear ni one of good destinations less visited, with historical sites na fukwe saafiii, plenty of sea foods kwa wapendao. Anybody to share experience?
Sure mkuu! Hata Mtwara kuna ufukwe unaitwa Msimbati Beach it is also one of the best beaches in Tanzania yaani unaeza jihisi uko Maldives mzae!
 
Sure mkuu! Hata Mtwara kuna ufukwe unaitwa Msimbati Beach it is also one of the best beaches in Tanzania yaani unaeza jihisi uko Maldives mzae!
Pamoja na kuwa na beaches nzuri kama Taifa hatujafanya vizuri sana kwenye eneo hili kiutalii. Kuanzia Tanga City, Pangani, Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Kilwa, Lindi, Mtwara .....
 
Pamoja na kuwa na beaches nzuri kama Taifa hatujafanya vizuri sana kwenye eneo hili kiutalii. Kuanzia Tanga City, Pangani, Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Kilwa, Lindi, Mtwara .....
Yes sijui kwanini tumejikita sana kwenye national parks na historical sites pekee halafu tumesahau hizi other resources like beaches and co.! Wenzetu kule Zanzibar utalii wa fukwe tu unawaingizia Pesa nyingi kuliko natural resources nyingine zozote siyo North, South, East wala West kote wamewekeza!
 
Basi hii wiki sijaweka mafuta kabisa,leo nimeenda kuongeza mafuta nikakuta uchumi wa kati umetamalaki.[emoji26][emoji26][emoji26]

Kumbe walipandisha Juzi jumatano...
IMG_20210305_192825_287.jpg
 
Kweli? Nimefika mtwara sikusikia hata wakizungumzia hio beach.
It is also one of those less visited beaches kama huko Kilwa tu. Lakini ni kati ya fukwe nzuri sana mbele bahari halafu nyuma kijani kibichi kimetawala.

Ila nafikiri ndiyo kama hivyo alivyosema mkuu hapo juu kuwa kama taifa kwenye eneo hilo hatujafanikiwa sana. Nadhani hatujajitangaza ile vya kutosha.

Au pengine labda watu wanapenda zile beaches ambazo ziko mjini zilizochangamka kama Dar au Tanga. Mbele bahari halafu nyuma mji mkubwa na makazi ya watu.

Lakini sehemu kama Bagamoyo, Mtwara, Pangani na Lindi kuna fukwe nzuri sana. Hiyo Msimbati unaweza hata kugoogle uone mandhari yake.
 
Nime Google nimeona iko Mikindani ni maarufu kwa hotels nzuri. Hata ukiwa mtwara wanaizungumzia Mikindani kama sehemu ya bata.
 
Sio gari inanuka uvundo.

Gari ikinuka uvundo kuna mengi....
1. Umemwaga kitu cha majimaji hivyo ukifunga vioo na mlango baada ya siku moja kutanuka.

2. Ukimwaga mabaki ya chakula yakaangukia chini ya siti au pembeni yakikaa bila kisafisha gari itanuka.

3. Ukinunua vitu sokoni kama nyama samaki nyanya na mbogamboga zinazolegea na kutoa majimaji na ukaacha yalale bila kuosha gari itanuka.

Vumbi pekee haileti uvundo kwenye gari labda tope lililooza...!
 
Easter long weekend Kasie tunaenda wapi?!! Siku tano zote kweli tusipige trip?!

Hapo ndo huwa nakupenda Taibali.

Tupige trip ambayo sio ya kuchosha (isiwe ndefu sana) ili tufurahie mazingira pia. Tukirudi tuna kandana (massage) kuondoa uchovu wa mikono, mabega na shingo.

Kama daraja/barabara ya Saadani Pangani imekamilika, tupange kwenda Tanga ila tunapita Saadani Parks kisha tunatokea geti la kuelekea Pangani hapo tunaenda Tanga tunaambaa na upepo wa bahari kisha tunarudi via wami msata kisha kiotani 😜.

Just the two of us 😉.

BD6D535D-4C51-4AE0-88D7-9728868BCB55.jpeg

Snacks ntakuwa nazo za aina zote 😋😋.
 
Back
Top Bottom