RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #3,781
So refreshingVisafari huwa vina raha yakeView attachment 1730862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So refreshingVisafari huwa vina raha yakeView attachment 1730862
Hiii hata vitz haiyumbiDuh 130kph?!
Sure.Hii njia utakuwa unaijua kila nukta
Sure.Barabara nzuri kupimana ni Mombo-Same
Yupi huyo? Mayalla? Ilikuwaje?Pascal pikipiki ilimfanya vibaya njia hio
Naturally aspirated ama inafosi?525i straight six hio...cc2500
Nilikuwa mbele pale. Nililala usingizi mzito sana. Nilijipa moyo kuwa kikiumana hata sitashtuka wala kusikia maumivu, it will all be over fast ndugu wakazike vipande.Kuna watu wana roho ngumu...gari yoyote yeye anakimbia tu
Hata wakati wa acceleration rpm isizidi 2k? Ni gari ya diesel?Sure.
Sehemu wanazosimama polisi zote nazifahamu.
Na ni mara ya kwanza nimetembea na rpm isiozidi 2000 toka mwanzo mpaka mwisho.
Ana uzi humu wa hiyo ajali.Yupi huyo? Mayalla? Ilikuwaje?
Kwa performance ya mjerumani si ajabu akawa na output sawa na 3.5l ya mjapaniNatural. Legendary M54 engine iko kwenye X3/5
Hivi zile sio compact? Niliona somewhere sedan za mjerumani hazina nafasi ya kujiachia ndani kama sedan za mjapani.Nilikuwa na ya nyuma yake hio 523i aisee! Nitarudi tena BMW 5series
Ana nyuzi nyingi sana, nimeshindwa kuutafuta.Ana uzi humu wa hiyo ajali.
5 series inaweza kuwa kati ya Crown na GX100 kwa ukubwa. Crown inaweza kuwa ndefu kwa few cmsHivi zile sio compact? Niliona somewhere sedan za mjerumani hazina nafasi ya kujiachia ndani kama sedan za mjapani.
Interior space ya 5 series / crown royal / fuga ina match vipi?
Ngoja nione kama naweza kuupata nikupe link.Ana nyuzi nyingi sana, nimeshindwa kuutafuta.
Ukitaka space ni 7series. 5 series ni medium size na ndio maana inapendwa na wengi. Sio too big,sio too smallHivi zile sio compact? Niliona somewhere sedan za mjerumani hazina nafasi ya kujiachia ndani kama sedan za mjapani.
Interior space ya 5 series / crown royal / fuga ina match vipi?
Hivi Helmet mtu avaa safari nzima au kuna muda anavuaHii uhakika kabisa. Nunua helmet nzuri 150k kwa Saidi Kariakoo... gloves, leather jacket na boots. Ukiwa protected from upepo, jua, mvua trip za bike ni tamu mno. Kiaminu chombo, kinaweza. Wewe tu