Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eneo ambalo nime delay ni Mgagao

Leo ilikuwa mnada wa mifugo
zile punda za kubeba mizigo
zilikuwa zimezagaa barabarani
Kari bu kinywaji Mkuu
JPEG_20210326_215756_5407472575475457120.jpg
 
Hatari tupu, kama siku tatu zimepita hilo tukio chato
Ayayaya nimeipita barabara ile.. ndipo nilipoweka average ile ya 134kmph. Nilikuwa naitafuta Runzewe nadhani. Yani unakaa 180 mpaka inaanza kufeel like 100, unatamani utoe limiter mshale uzunguke. One of the best roads to drive fast.

Alipatwa na nini huyo?
 
Ile barabara walijenga.. aisee. Hawa ni mwendo kasi na utoto mwingi
 
Back
Top Bottom