Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aaah kwa nini sikuiona hii mapema

Juzi nilikosa cha kufanya nikataman kusafiri nikaishia kufika handeni na kurudi
Hahaha yaani mimi sijui nikoje. Kila siku iitwapo leo huwa nina hamu ya kusafiri.

Hivyo nikisema niziendekeze hamu zangu za kusafiri itanibidi nifanye kazi/biashara ambayo itanilazimu kusafiri kila siku. Sijawahi kuchoshwa na safari and infact nikikaa mkoa mmoja zaidi ya wiki bila kubadili mazingira huwa najihisi kuumwaumwa tu bila sababu yaani.
 
aisee tumefanana kabisa
 
Nina trip ya Mwanza/Bukoba Jmosi twenzetu
 
Hotuba ya mama ilivyokuwa tamu, basi road trip imekuwa ni kutembea tu jioni taratibu kwa miguu nikifurahia hali ya hewa ya Arusha..[emoji39]
IMG_20210405_182459.jpg
 
Back
Top Bottom