Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ina adrenaline kama rally, vumbi ninaloacha huko nyuma si mchezo!

Its exciting unafeel kabisa one misstep unaingia porini. Rear end ikisweep huku haushiki brake kugain control bali unacheza na power na steering tu. Brakes will kill you.

It was interestingn nisharudi kwenye lami.
Kweli kabisa. Ishawahi tokea kwenye barabara ya vumbi, rear end iligeuka aisee. Bahati nzuri tulikuwa na dereva mzoefu, ambaye alifanya hivyo ulivyosema. Kilikuwa kitendo cha kama dakika 1 hivi. Tukatoka salama.
 
Hatari sana.
 
Hahaha mimi nikisafiri napendelea kutumia usafiri wa public sipendelei sana usafiri private! Cause huwa napenda nikisafiri nisipige story na mtu nikae tu peke yangu nasikiliza miziki kitu ambacho kwenye usafiri private hauwezi utaonekana miyeyusho na kama ni private basi niwe peke yangu niendeshe mwenyewe!
Hapo kwenye kuendesha usafiri private sipendagi mafuta akanyage mwingne na mie nimo ndan, lazima nishuke tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepita hapa leo,
IMG_20210503_141710_103.jpg
IMG_20210503_141538_157.jpg
IMG_20210503_141623_363.jpg
 
Back
Top Bottom