Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Vipi kwa Wanajeshi mkuuHili la road trip kwa wafanyabiashara inawezekana lakini sio kwa wafanyakazi kama walimu,doctors and nurses
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kwa Wanajeshi mkuuHili la road trip kwa wafanyabiashara inawezekana lakini sio kwa wafanyakazi kama walimu,doctors and nurses
Kanyaga twende...Ira-Mby Ni 380km
Hii imekaa njema zaidi[emoji120]Kanyaga twende...View attachment 1800494
Dar-Moro via Bagamoyo?Kanyaga twende...View attachment 1800494
Kibao Cha pale Ipogoro kinaonesha Ira-Mby Ni kilometer 380.Hii imekaa njema zaidi[emoji120]View attachment 1800498
Na mwenyekiti wa Nissan nipo hapa..[emoji41][emoji41]..Naunga mkono hojaMkuu Siri moja ya Nissan Patrol ukiwa off road ni comfortability. Ukiendesha L/Cruiser Hardtop, Defender au Pajero huwa hazina utulivu kama wa Nissan.
Hongera zimfikie mmiliki kwa kutunza, Nissan ni gari ya mjapani ambayo haitaki janja janja kama Toyota.
Angeenda kampala UG kwa kupitia Arusha, Namanga, Nairobi, Kisumu, Busia, Jinja, Kampala.Sure...
Ila sasa dada ni mpambanaji nahisi Zimb walipomshauri watu wengine kutakuwa miyeyusho tu kwake, maana wale washaharibikiwa...atachofaidi ni adventure tu!!
Kuna ndugu yangu alikuwa kaoa halafu kaenda ishi huko, last two years karudisha mpira kwa kipa, hali mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Lift natoa ila kuombwa hela kha!Nje ya mada kidogo..
Hivi unakutana na mtu unampa lift, unamshusha sehemu anayotaka kushukia, kisha anakuomba hela....Tena mwingine anasisitiza.." Hujawahi kunipa hela".
Wazee wa road trip, hii kitaalamu imeekaje .?[emoji848][emoji848]
Basi imenikuta kama X 3... [emoji26][emoji26]Lift natoa ila kuombwa hela kha!
Naona walimu wana muda mzuri zaidi wa kufanya road trips...Hili la road trip kwa wafanyabiashara inawezekana lakini sio kwa wafanyakazi kama walimu,doctors and nurses
Pale mikumi hatari sana kukatiza kwa speed zaidi ya 120Dar - Iringa 4.5hrs, distance 490km approx
Iringa - Mbeya 3 to 3.5hrs, distance 334km approx
Muda ni usiku, gari engine ni V6/V8 (gari nyingine hizi zenye engine za kawaida ni 9 to 9.5hrs)
Dar to Mbeya, vituo vya mafuta ni viwili (Mikumi na Makambako)
Min speed 120kph na mwendo huu ni hadi kule Iyovi, Max speed kisahani chote sehemu zinazoruhusu kama Ruaha Mbuyuni, Makambako hadi Iringa, Moro hadi Chalinze, sehemu kama Mikumi unajitoa ufahamu ile 50kph yao ya usiku unafanya kama huijui...
Sehemu speed kidogo inapungua Kitonga wakati wa kupanda approx 70 to 80kph...
Chimala hadi maeneo ya Nsonyanga Mbeya sababu ya barabara ina madimbwi na mashimo...
Mlandizi hadi pale mbele kidogo ya daraja la juu la treni, barabara ina mawimbi hatari...
Hii ilikuwa achieved wakati hapo Picha ya ndege hawajabomoa barabara, Kingolwira/Kingolwira Magereza hawajaanza chimba barabara, Iyovi hawajaanza kupanua barabara...
Hapa nipo dodoma.. nakula mambo yangu bambalaga 😀😀😀Lazima uwe unabadili gari kila mwaka kwa km unazotembea!
The cask huwa kina waka sana.. kipindi cha nyuma kila weekend ilikuwa lazima niwepo pale.. naanzia alhamisi,.ijumaa hadi jumamosi.. naondoka jumapili 😀😀😀😀.. ila sasa hivi majukumu mengi sanaKuna siku nilitoka Dodoma saa 2 usiku saa 9 tukaingia Mwanza, moja kwa moja the cask. Na palikuwa pamewaka vibaya mno.
Nilivyokuwa Mwanza nilikuwa nakaa sana hapo na pale nyuma villa park I guess kuna samaki na bandThe cask huwa kina waka sana.. kipindi cha nyuma kila weekend ilikuwa lazima niwepo pale.. naanzia alhamisi,.ijumaa hadi jumamosi.. naondoka jumapili 😀😀😀😀.. ila sasa hivi majukumu mengi sana
Kadi og na insurance ya comesa I think. Kwa sasa covid 19 negative test certificateWakuu ahlan wasalan!!
Nje kidogo ya mada nilikuwa naomba kujua utaratibu wa kuingia nchi jirani kama kenya na chombo binafsi cha usafiri kipi/docx gani natakiwa kuwa nayo zaidi ya ppt. Mwenye uzoefu hasa wa border ya holili/tarakea shukran