Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

....kusaka tonge la familia this morning..
Fog kiasi...[emoji2414][emoji2415][emoji2415][emoji2415]View attachment 1804415
Jana nimekutana na rafiki sijamuona miaka kama minne hivi. Siku ya mwisho tunaonana alikuwa na Nissan Fuga 250GT. Jana nimekuona nayo nikamuuliza wewe hii gari bado unayo tu akaniambia ninayo na iko njema balaa.
Nikamwambia mbona wengi wanasema mbovu sana hizi, akasema hii unavyoiona inasoma km297,000 na aliinunua ikiwa na 65,000km! Kazungukwa nayo nchi nzima na bado ndio tegemeo lake la safari. Kwahio ndugu zangu wa Toyota waache maneno Yao gari fulani mbovu blah blah cc ISO M.CodD
 
[emoji848][emoji848]
JamiiForums396431201_474x569.jpg
 
Jana nimekutana na rafiki sijamuona miaka kama minne hivi. Siku ya mwisho tunaonana alikuwa na Nissan Fuga 250GT. Jana nimekuona nayo nikamuuliza wewe hii gari bado unayo tu akaniambia ninayo na iko njema balaa.
Nikamwambia mbona wengi wanasema mbovu sana hizi, akasema hii unavyoiona inasoma km297,000 na aliinunua ikiwa na 65,000km! Kazungukwa nayo nchi nzima na bado ndio tegemeo lake la safari. Kwahio ndugu zangu wa Toyota waache maneno Yao gari fulani mbovu blah blah cc ISO M.CodD
Mkuu gari ni matunzo na kuzingati service zenye ubora..
Hii Nissan yangu ina Miaka 7...Gear box ni CVT na Mileage leo inasoma KM 160,200....nakilasiku inatembea km zisizpungua 8 mpaka 10 ze wa rough road.. Tena miliman...

Wazee wa Toyota ni kama wabunge wa ccm...huwezi kuwatenganisha na katiba ya mwaka 1977.. [emoji119][emoji119][emoji85][emoji85]
 
🤣🤣🤣🤣 Team Japan Toyota hatuishi maneno.. kesho nataka kulipia Audi A4 1.8T nipe uzoefu wako kidogo mkuu.. speed inakwenda hadi 280 ni ya mwaka 2008
 
Jana nimekutana na rafiki sijamuona miaka kama minne hivi. Siku ya mwisho tunaonana alikuwa na Nissan Fuga 250GT. Jana nimekuona nayo nikamuuliza wewe hii gari bado unayo tu akaniambia ninayo na iko njema balaa.
Nikamwambia mbona wengi wanasema mbovu sana hizi, akasema hii unavyoiona inasoma km297,000 na aliinunua ikiwa na 65,000km! Kazungukwa nayo nchi nzima na bado ndio tegemeo lake la safari. Kwahio ndugu zangu wa Toyota waache maneno Yao gari fulani mbovu blah blah cc ISO M.CodD
Wanakuambia gari nyingine zinawasha christmas tree kwenye dash [emoji23]
 
Mkuu gari ni matunzo na kuzingati service zenye ubora..
Hii Nissan yangu ina Miaka 7...Gear box ni CVT na Mileage leo inasoma KM 160,200....nakilasiku inatembea km zisizpungua 8 mpaka 10 ze wa rough road.. Tena miliman...

Wazee wa Toyota ni kama wabunge wa ccm...huwezi kuwatenganisha na katiba ya mwaka 1977.. [emoji119][emoji119][emoji85][emoji85]
Sasa mtu anaweka SAE40 kwenye engine anataka nini? Acha tu limfie.
 
Personally, night ride ni more preferable, for the purpose of saving time and evading traffic barriers' inconvenience.

Lakini kutekwa ndiyo threat kubwa.

Mchana tochi, Usiku magogo. Opt any at your discretion.

-Kaveli-

Usiku ndio bomba kwanza tairi hazioverheat na engine inakuwa imepoa. Ishu ni kwamba barabara zetu kuna wakati usiku hata upige full ya aina gani unashangaa barabara imepotea. Hahahhahaha. Halafu Lazima uwe na bomba usiku ni noma tena iwe mkao wa kufyatua sio unavamiwa ndio unaanza kutafuta kukoki sijui kutoa safety. Hahhahahaha
 
Mm huu mwezi wa tatu sasa namshukuru mungu. Nilikuwa siwezi kuona vizuri ghafla tu Yaani. Yaani hata nikiendesha gari namba za gari mbele yangu siwezi kuzisoma Naona double vision. Nikajua labda umri umefika wa kununua miwani ila nikasema Ngoja nikapime macho Huwezi amini nimefika hospitali wakaniambia Ngoja tukupime kwa Nzaga damu kuja kucheki mwanangu nina sukari inasoma 34 na presurre juu. Kumbe sukari inakufanya usione aisee. Nikaambiwa macho yako mazima kama mtoto mdogo Ishu ni sukari kwanza unabahati umefikaje hapa. Nilivyo toka hapo nikaenda mmoja kwa mmoja gengeni nikanunua mchicha matembele brocoli Yaani ndio ikawa chakula yangu. Nikaanza na kutembea 5 km kila siku. Nikapewa list ya vyakula vya kutumia. Wali nilipiga chini, ugali wowote ule hadi wa dona nilipiga chini maandazi sijui mihogo sijui viazi piga chini. Asali na matunda yote piga chini kasoro matango na parachichi. Mtindi uwe ule plain original. Asubuhi nikiamka ni mlenda nakula zima ndio chai. Sasa hivi sukari inasoma 6.1
Duh pole sana.
 
Sasa mtu anaweka SAE40 kwenye engine anataka nini? Acha tu limfie.
Nimeweka 5w40 engine oil from Germany kwenye Crown nimetembelea 7000km jana ndio nimefanyia service tangu gari imekuja December 2020. Nilimwambia fundi angalia oil ikitoka ina hali gani sikumwambia nimetembea km ngapi. Kaniambia oil bado nzuri ila imepungua kidogo. Iliwekwa lita 6 imetoka lita 5 hivi.
 
Ila Crown athelete inakula lita 8. Mm nilikuwa na Crown athelete CC 3500. Lita 8 ya oil. Unajua hizi Crown zipo aina nyingi. Kuna Crown ya GRS180, GRS 181, GRS 182,GRS 183 na GRS 184. Pia CC zinatofautiana kuna za CC 2,500 , CC 3,000, CC 3,500 na CC 4,000 Ila nje body unaona zinafanana vile vile Ila ukiangalia sana ukiwa makini kuna body ambazo zimeshiba na nyingine hazijashiba. Kwa mfano ile yangu mm nilinunua mwaka 2013, CC 3,500 Athelete ilikuwa na gear 6 na mm Nilikuwa napenda kudrive manual badala ya automatic.
 
Engine 4GR cc2500 inakula 6L tu
 
Back
Top Bottom