Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Na wakikujua ni mgeni, utawapelekea moto mpaka uwakimbie.
Bibi weweeeh mi kupata bwana n'geni, ye kununua bia na nyama,kunoga mpaka kukosa jina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umenikumbusha majina ya mabinti wa kule Lindi...wakina Somoe..[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
#Kitonga
20210608_145411.jpg
20210608_145626.jpg
 
Tabora moja hiyo [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1813237
Mzee unapiga roadtrip si mchezo! You are my role model!

Mimi nimewahi kupiga roadtrip za siku kadhaa mfululizo mara mbili tu na zote ni za kikazi tu! Ya kwanza ilikuwa Dar-Tanga-Kilimanjaro-Arusha. Ilikuwa ni safari ya usiku na mchana hakuna kupumzika na haikuwa safari ya moja kwa moja bali tulipitia kwenye wilaya kadhaa safari ilianzia Dar jioni via Bagamoyo, tukaingia Msata then tukaingia Tanga.

Tanga tulipitia wilaya za Korogwe, Handeni, Muheza, Pangani na Tanga mjini. Kilimanjaro tuliingia Mwanga ndani ndani, Moshi ndani ndani, Hai ndani ndani, na Siha ndani ndani then tukaenda Arusha mjini ambapo ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yetu na pale ndiyo tukatafuta hotel tukapumzika.

Maana safari nzima tulikuwa tunalala kwenye gari then tunaamsha, na kulala kwenyewe ni nusu saa hadi lisaa limoja imeisha hiyo, maana tulikuwa watatu including dereva na dereva akawa anatuambia tusilale tumpigishe story ili asije akasinzia akachochora. Yaani tulikuwa tunashuka sehemu kula tu au kuchimba dawa na kuoga kwenye hivi vyoo na mabafu ya kulipia basi so tulivyofika Chuga ndiyo tukapumzika.

Tukajipa siku nzima off ambayo ndiyo tulipanga tulale hiyo siku nzima halafu kesho yake ndiyo tuamshe kurudi Dar. Wenzangu walikuwa wamechoka wakalala kama pono ila cha ajabu mimi kulivyokucha ndiyo kwanza nikawaacha, nikaingia town pale nikazurura kidogo then Baadaye nikaenda Rombo nako nikazurura kidogo hadi jioni then ndiyo nikarudi Arusha, kesho yake sasa ndiyo tukaamsha kurudi Dar.

Ya pili ni hizi za juzi hapa ila hizi angalau zilikuwa siku chache na hazikuwa za usiku na mchana maana tulifikia Mbeya mjini. Jumamosi ilikuwa Dodoma-Mbeya, Jumapili ilikuwa Mbeya-Chunya (kwenda na kurudi), Jumatatu ilikuwa Mbeya-Kyela (kwenda na kurudi) na jana Jumanne ndiyo tukaamsha Mbeya-Dar.

Mimi ninavyopenda safari yaani hata nisafiri vipi huwa niko fresh tu tena kadiri ninavyozidi kusafiri ndivyo ninavyotamani nisafiri zaidi na zaidi nifike sehemu ambazo sijawahi kufika. Yaani nimejigundia napenda sana safari na safari inapoanza huwa sitamani tufike tunakoenda sema tu ndiyo hivyo kazi haziruhusu.

Nawaonea sana wivu watu wanaofanya kazi zinazowalazimu kusafirisafiri kila mara na mimi starehe yangu siyo kuendesha bali kuwa mbele pale pembeni ya dereva mimi ndiyo huwa naenjoy zaidi. Mfano zile safari ambazo mnatakiwa mpeleke mizigo kwenye mikoa mbalimbali halafu mko na cruiser ama coaster wawili au watatu tu dereva na utingo halafu safari iwe day and night yaani huwa nafurahia acha kabisa.

Naamini huu kwangu ni mwanzo tu natamani ifike kipindi nipate safari za mfululizo kama wewe hadi nizikimbie mwenyewe. Halafu mimi sichaguagi usafiri mimi gari, meli, ndege au treni vyote twende tu tena huwa naenjoy slow transports kuliko fast ones mfano meli na treni, unless iwe ni safari ya dharura na haraka ila tofauti na hapo sipendagi haraka kwenye safari zangu, yaani mimi nikiambiwa meli au treni tunayopanda itachukua kuanzia siku mbili na kuendelea kufika tunapoenda ndiyo huwa nafurahia kweli yaani, mradi tu kuwe na basic needs pamoja na some luxuries humo ndani.
 
Hakuna alie pita pale asishangae hasa kwa mafundi maana ilikuwa polini kidogo, hawaamini na namna walivyo ikuta gari. Imetulia tu kama hakuna kilichotokea. 🙂🙂🙂 hii ndio vibe langu la leo hapa naingia dodoma baada ya kutoka tabora na hapo nilitokea mwanza asubuhi 😎😎
 
Hii wiki nimetembea 4000km

C.c ISO M.CodD
C.c RRONDO
C.c Extrovert
 
Hakuna alie pita pale asishangae hasa kwa mafundi maana ilikuwa polini kidogo, hawaamini na namna walivyo ikuta gari. Imetulia tu kama hakuna kilichotokea. 🙂🙂🙂 hii ndio vibe langu la leo hapa naingia dodoma baada ya kutoka tabora na hapo nilitokea mwanza asubuhi 😎😎

Picha ya muonekano wa gari baada ya tukio hilo.

-Kaveli-
 
At 260KPH! Duh

Hii ndiyo ile wanasemaga ukitaka SAFETY/STABILITY, Performance, na Comfortability, basi nenda kwa mzungu! not mjepu.

-Kaveli-
Huo msemo upo sahihi kabisa mkuu.. ingekuwa hapo gari za mjepu.. huenda sasa hivi ingekuwa habari ingine. Hata mafundi wenyewe walikuwa wanasema pale ingekuwa kama hizi gari zetu pendwa (mjepu), habari ingekuwa ingine kabisa.
 
Back
Top Bottom