Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ubena Zomozi.
IMG_20210709_200046.jpg
IMG_20210709_200048.jpg
IMG_20210709_200054.jpg
IMG_20210709_200051.jpg
 
Ulikazimaje bro?uliahidi kuleta mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeenda garage nimefuatlia kuna mlio unatoka kwenye wheel bearing jamaa kaniambia nibadili wheel bearing,kwasasa sina mpango huo.
Chini ya usukani kuna reset button yake ukiibonyeza na kuishikilia kinazima,sasa nasubiri kitawaka tena lini.
 
Back
Top Bottom