Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona naona.
[emoji172][emoji172]
Naona hizi picha leo zimesambaa sanaa.. hongera kwa mpigaji tamu sana
Safii, jumatatu nipo hapo 🙂🙂
Kazi iendelee 🙂Miguu ishaanza kuwasha!
Wapiga vizuri sana. Hizo picha biashara toshaDrone lazima ilihusika
Cheki pia na traveller lodge 🙂ISO M.CodD kuna sehemu uliitaja Bagamoyo mlienda kupata misosi inaitwaje? Gari inaniambia imechoka kukaa mjini 😂
Ulikazimaje bro?uliahidi kuleta mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]Kale kajamaa nimekazima siku ya tatu Leo kamepotea
Kaka usiniache twafadhali[emoji120]ISO M.CodD kuna sehemu uliitaja Bagamoyo mlienda kupata misosi inaitwaje? Gari inaniambia imechoka kukaa mjini [emoji23]
Nimeenda garage nimefuatlia kuna mlio unatoka kwenye wheel bearing jamaa kaniambia nibadili wheel bearing,kwasasa sina mpango huo.Ulikazimaje bro?uliahidi kuleta mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kazi naona hii itarahisisha shughuli zako za kujenga mahusiano imara na raia mbali mbali humu 😂Hii imepita mkuu, admin nani atupiwe namba 😀😀