Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Halafu Diamond nampendeaga hapo tu binafsi naonaga ana taste nzuri inapokuja kwenye suala la magari. Nimegundua jamaa anapenda sana SUV zilizopanda juu.

Nilikuwa naangalia ule msafara wake aliopost ig. Nimeona kumbe ana Escalades mbili, LC V8 mbili, Prado TX moja na hiyo Rolls Royce moja tukiacha ile X6 yake.

Mwenyewe Rolls Royce huwa nazielewa Cullinan sababu ni SUV. Zile sijui Wraith, Drophead, Sweptail na wenzao sijawahi zielewa maana zimekaa kama Sedan.

Yaani hata tukija kwenye simu huwa ananikosha maana pia nimegundua ni mtumiaji mzuri sana wa Samsung. Sijawahi muona akihangaika na hizi iPhone and co.

Nimeona umemtetea sana kwenye zile nyuzi zinazohusu hiyo mashine mpya aliyoinunua. Jamaa yuko vizuri sema basi tu wabongo tuna roho za chuki na husda.
Watanzania tumekuwa na wivu wa ajabu ajabu sana, hatuwezi pongeza mazuri. Kijana wa watu kapambania ndoto zake, watu bado wana mchawia tu.. wanashangaza sana
 
Toyota wameamua kuwa serious.....Wameamka usingizini..big up kwa designer..[emoji123][emoji123]
Screenshot_2021_0712_070434.jpg
 
Back
Top Bottom