Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hapana bado, labda masaki huko zipo. Ila sidhaniHivi na e tron tayari zimefika bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana bado, labda masaki huko zipo. Ila sidhaniHivi na e tron tayari zimefika bongo
Watanzania tumekuwa na wivu wa ajabu ajabu sana, hatuwezi pongeza mazuri. Kijana wa watu kapambania ndoto zake, watu bado wana mchawia tu.. wanashangaza sanaHalafu Diamond nampendeaga hapo tu binafsi naonaga ana taste nzuri inapokuja kwenye suala la magari. Nimegundua jamaa anapenda sana SUV zilizopanda juu.
Nilikuwa naangalia ule msafara wake aliopost ig. Nimeona kumbe ana Escalades mbili, LC V8 mbili, Prado TX moja na hiyo Rolls Royce moja tukiacha ile X6 yake.
Mwenyewe Rolls Royce huwa nazielewa Cullinan sababu ni SUV. Zile sijui Wraith, Drophead, Sweptail na wenzao sijawahi zielewa maana zimekaa kama Sedan.
Yaani hata tukija kwenye simu huwa ananikosha maana pia nimegundua ni mtumiaji mzuri sana wa Samsung. Sijawahi muona akihangaika na hizi iPhone and co.
Nimeona umemtetea sana kwenye zile nyuzi zinazohusu hiyo mashine mpya aliyoinunua. Jamaa yuko vizuri sema basi tu wabongo tuna roho za chuki na husda.
Hahaaa hata huko nako huwa tunaishia kuona hizo hizo R8 na wenzie tuHapana bado, labda masaki huko zipo. Ila sidhani
Mola akupe hitaji la moyo wako[emoji120]Miaka mitano, nitakuwa nachapa trip na hii chomboo wakuu zangu [emoji846][emoji846][emoji846] ndio mambo niyapendayo hayaaa..
View attachment 1856184View attachment 1856185View attachment 1856186View attachment 1856187View attachment 1856188View attachment 1856189View attachment 1856190
chui ni nani na panya ni nani kati ya hiz gar mbili??Ni kama unauliza chui na panya nani anawahi kuchanganya na ana balance akikimbia.
nimekuelewa mkuuIst new model ni shidaaa.. inachanganya haraka sana.. hutojutia mkuu na ulaji wake wa wese inanusa tu, balance imo ya kutosna kama RR culli ya dimond na hata ndani ipo sex sana.. chukua chombo.. crown hazina balance kidogo inaanza tetema
Bila shaka umeipata na 'irony' iliyomo ndani ya huo ujumbe 'uliouelewa'. Kila la heri kuelekea maamuzinimekuelewa mkuu
duuh masaa ma4, mnakua na msafara kwamba njia nyeupe au? maana kona kona za kutoka gairo hadi dumila plus ubovu wa barabara unawezaje kukimbia hivyo tena gari yenyewe subaru.Zinaweza nilikuwa na Subaru Cross Sport nilitumia masaa manne Dar dodoma
Mkuu Subaru wazionaje kwani , hazifai kukimbia kama VX V8 🙂🙂duuh masaa ma4, mnakua na msafara kwamba njia nyeupe au? maana kona kona za kutoka gairo hadi dumila plus ubovu wa barabara unawezaje kukimbia hivyo tena gari yenyewe subaru.
Hiyo lazima tuchape trip la kibabe moja 😀😀😀Mola akupe hitaji la moyo wako[emoji120]
Ukininyima katrip humu nakuloga[emoji23][emoji23][emoji23]
Panya ni Crown na Chui ni ISTchui ni nani na panya ni nani kati ya hiz gar mbili??
Bon Voyage
240+ sio mchezo aisee. Njia gani hii na chombo gani hiyo unapiga nayo shimo?240 Km + vumbi mwanzo mwisho. Wazee wa rough road tunagonga shimo.
View attachment 1857958
Kama njia unaijua hamna tatizoduuh masaa ma4, mnakua na msafara kwamba njia nyeupe au? maana kona kona za kutoka gairo hadi dumila plus ubovu wa barabara unawezaje kukimbia hivyo tena gari yenyewe subaru.