ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Mida ya kuanza trip hii. Pakikucha wakiingia kazini unaingia nao. Mdogo mdogo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wish you the best mkuu. Personally natumia Atlantic synthech ... wanadai ni pure synthetic oil sema ndio hatuna namna ya kuprove hawa waarabuWatu wangu wa nguvu wa Road trip, soon naanza sambaza vilainishi ( engine oil, na gear box oil ). Nipo kwenye hatua za mwisho mwisho saana, ningependa maoni ya wadau juu ya brand ambazo zinginezo bora , kazi iendeleee
Joto la nchi halina uhusiano na joto la injini kwa upande wa oil. Yani njombe waweke oil tofauti na Dar? Tumia oil iliyoandikwa kwene service manual ya gari.Sina uzoefu wa gari za turbo, engine oil ipi nzuri unaweza recomend kwa gari za turbo ? hasa za ulaya, kuna wanao sema ni vizuri kutumia 5w 30 kwasababu ni nyembamba haiwezi ziba kwenye turbo, na wengine wanasema 15 w 40 kwakua mazingira yetu yana joto. kwa uzoefu wako ipi inafaa
La kwangu limepigika pigika mkuu... fuga iliyochoka mji mzima! [emoji23][emoji23][emoji23]Humu humu Dar es Salaam.. nimekuta Fuga moja nyeusi inang'aa kama ya jamaa yetu.. mwanzonim tu wa parking ukiingia, mala moja moja tunapiga trip za ndani ya dar 🙂 🙂 🙂.
Hongera mkuu. Naona V8 limekuheshimisha. Hapo ungekutana na old mates wangekuwa wana la kusimulia huko waendako.Safely back in Dar....was a very nice trip.
Next,.......
Siwaachiagi funguo ya gari hao waosha magari. Hata kusogeza nasogeza mwenyewe. Risk nyingine za kipuuzi sana.Huyu mwamba aliyevua shati kapewa gari aioshe baada ya kuosha jamaa kapiga Road trip kitaa kakutana na moto, nasikia nearby BOT Dom... Hawa jamaa muda mwingine ni wavuta bangi
View attachment 1877024
Jamaa wameamua kuniharibia hesabu leo... block kama zote.
Mkuu Acha tu. Hii trip imebadili kabisa kichwa changu. Nilikuwa na vijana wenye nguvu. Fleet ya gari nne zinakaribia1b!Hongera mkuu. Naona V8 limekuheshimisha. Hapo ungekutana na old mates wangekuwa wana la kusimulia huko waendako.
Naam lazima uwe inspired!Mkuu Acha tu. Hii trip imebadili kabisa kichwa changu. Nilikuwa na vijana wenye nguvu. Fleet ya gari nne zinakaribia1b!
Shukrani mkuu. Nishafika now natimiza majukumu nigeuze chap.Pole sana.
Nice view.Shukrani mkuu. Nishafika now natimiza majukumu nigeuze chap.
Miti ya mbao, Mufindi
View attachment 1878237
Shukrani mkuu. Nishafika now natimiza majukumu nigeuze chap.
Miti ya mbao, Mufindi
View attachment 1878237
Kila nikipita hapo lazima nimkumbuke jamaa [emoji23]Maskani ya Holy Man View attachment 1878295
Leo nilikuwa mdogo mdogo sana hamna aliyeniletea ligi. Chill speed yani. Nadhani kwa mara ya kwanza sijafuta kisahani safari nzima [emoji23][emoji23][emoji23]Mkeka umetulia ndo kwanza upo 140,
Usizidi hapo mkuu, walau uangalie hiyo miti vizuri wakati ikirudi nyuma[emoji23]
Mimi pia aisee, itabidi nami siku moja niingie hapo nipate kahawa na view ya wanaopambana kuizomea lami [emoji23][emoji23] Binafsi nimezoea kunyoosha hadi Flomi ndio nipate supu, kunyoosha mgongo kidogo na kuendelea na safariKila nikipita hapo lazima nimkumbuke jamaa [emoji23]