Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
atatoa boko sasa hiviiiMama anaupiga mwingi sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atatoa boko sasa hiviiiMama anaupiga mwingi sana!
Pole sana hii misafara week mbili nyuma ilinasababishia usumbufu sana.Jamaa wameamua kuniharibia hesabu leo... block kama zote.
Hapa nimekaa Iringa karibu lisaa tumesimamishwa kupisha msafara wa Mwenge!!!!
Hii nchi hii.... Bongo nyosso.
Engine litre ngapi mkuu?Leo nilikuwa mdogo mdogo sana hamna aliyeniletea ligi. Chill speed yani. Nadhani kwa mara ya kwanza sijafuta kisahani safari nzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Regency Hotel SingidaniHapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geita
Daraja la Kijazi/Ubungo nadhaniWapi hii
ndio ndio ipo pale kwenye kiziwa , mwaka juzi maji yalifanya sana yake pale.. huwa napapenda kwa ajiri ya ile view yakeNi Regency Hotel Singidani
Wapi hii
Daraja la Kijazi/Ubungo nadhani
Nilipiga mzinga kaka kipande ya ngarasero to waso km waenda loliondo brbr ni changamoto haswa[emoji119]sema wee utaenjoy maana waishia ngorongoro full lami.Mkuu kwanini
Yap unapumzika counter pale ukitazama watoto wa kinyatu wanavyorukaruka kwa swimming[emoji23][emoji23]Ni Regency Hotel Singidani
Kale kanjia ka kuingia na kutoka lami hua kunatokea ajali sn pale mkuu!ndio ndio ipo pale kwenye kiziwa , mwaka juzi maji yalifanya sana yake pale.. huwa napapenda kwa ajiri ya ile view yake
Naenda , mlimaniNilipiga mzinga kaka kipande ya ngarasero to waso km waenda loliondo brbr ni changamoto haswa[emoji119]sema wee utaenjoy maana waishia ngorongoro full lami.
Kuna kipindi waliamua weka trafic pale mda woteKale kanjia ka kuingia na kutoka lami hua kunatokea ajali sn pale mkuu!
Napapata pale sema pako expensive sanaYap unapumzika counter pale ukitazama watoto wa kinyatu wanavyorukaruka kwa swimming[emoji23][emoji23]
Njia ipi hiyo?Leo nimepigwa tochi 146 kwenye hizi 50 za maporini [emoji23][emoji23][emoji23]
Hao jamaa mi nawakazia sana ingawa wengine ni wabishi kwelikweli yaaniLeo nimepigwa tochi 146 kwenye hizi 50 za maporini [emoji23][emoji23][emoji23]