IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?
ebu weka picha nione hilo dudeMaweeee!
Mimi napenda yale VX Sport
Ngoja nikadownloadebu weka picha nione hilo dude
endelea kula pips tu, huenda siku broker atakuelewa akumwagie mapeneee mkuu.. uzuri wa fx ikikupenda hiyo pesa unaweza iundaMaweeee!
Mimi napenda yale VX Sport
Mkuu, miaka 5 ijayo Mungu akiniweka hai namiliki hiyo.endelea kula pips tu, huenda siku broker atakuelewa akumwagie mapeneee mkuu.. uzuri wa fx ikikupenda hiyo pesa unaweza iunda
Mungu akujalie ndoto zako zikawe kweli boss.. maana mwenzenu naona kavuta Jaguar moja taamuuuu baraaa, ipo sex si mchezoMkuu, miaka 5 ijayo Mungu akiniweka hai namiliki hiyo.
Au kama si hiyo hata Prado ya mwaka 2022 ntamiliki.
Ni moja ya ndoto zangu
Nani huyo bossMungu akujalie ndoto zako zikawe kweli boss.. maana mwenzenu naona kavuta Jaguar moja taamuuuu baraaa, ipo sex si mchezo
humjui mkuu ? fatilia tu kwenye industry yenu utamjua mkuu. jaguar tamu sanaaaNani huyo boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule sifa nyingi boss! Ile ni njia ya kula vichwa vya wajingahumjui mkuu ? fatilia tu kwenye industry yenu utamjua mkuu. jaguar tamu sanaaa
Hilo hapo mkuu,ebu weka picha nione hilo dude
A little less than an hour... bike huwa ni 90kmph average speed na kwasababu haina 50 wala sheria zozote always napata hiyo spidi. Consumption 30kmpl. Kananusa tu wese.Just seen around 80+ Kms, kwa ile bike yako ya kibabe huwa unachukua muda gani that distance? Moro - Doma
He he he sisi tunaonunua mafuta mikoani humo tukiwa trip tushaizoeanbei ya 2500 sahivi.... dah!!
Lita tatu na nusu bosiEngine litre ngapi mkuu?
Pole sana mkuuNilipiga mzinga kaka kipande ya ngarasero to waso km waenda loliondo brbr ni changamoto haswa[emoji119]sema wee utaenjoy maana waishia ngorongoro full lami.
Manunuzi ya serikali unayajua?Sasa lile la mkurugenzi la milioni 400 ilikuwaje?
Mbeya to Dar... mitaa ya Sao hill huko. Hawa niliwatoa kitembo nikatembea. Nikapigwa tochi ya kizembe tena mitaa ya Ifunda niko 96, afande mmama akafosi kuandika so nadaiwa hapa. Ilula dogo mmoja kapaki kwenye IST akanifyatua na 72. Nikamkazia nikamwambia oya mshaniandikia mshaniharibia mahesabu hapa, mi mwanaume mwenzio nielewe. NIkamuacha na buku2 nikagonga gia.Njia ipi hiyo?
Traffic makao makuu [emoji14][emoji14]Sanamu yako tuweke wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana tunasafiri wenye adabu zetu, wafuata alama za barabarani zote. Ukikurupuka wallet yako itatoboka! Vinginevyo uwe na V8 😛😛😛Mbeya to Dar... mitaa ya Sao hill huko. Hawa niliwatoa kitembo nikatembea. Nikapigwa tochi ya kizembe tena mitaa ya Ifunda niko 96, afande mmama akafosi kuandika so nadaiwa hapa. Ilula dogo mmoja kapaki kwenye IST akanifyatua na 72. Nikamkazia nikamwambia oya mshaniandikia mshaniharibia mahesabu hapa, mi mwanaume mwenzio nielewe. NIkamuacha na buku2 nikagonga gia.
Mi sielewi mnapendea nini kusafiri mchana. Hizo tochi zote ni ndani ya 200km. Traffic mkoa wa Iringa Mungu anawaona mlivyojaza mitochi.