Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Jaguar ni yake, mda mrefu nimekaa nje ya game. ila nilikuwa najua hadi jina la broker ambae ana deal nae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjini hapa boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaguar ni yake, mda mrefu nimekaa nje ya game. ila nilikuwa najua hadi jina la broker ambae ana deal nae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjini hapa boss
Kuna pale Rafiki Resort wana chakula bomba sana😀 😀 😀 😀 Ka Singida kana raha yake
Rafiki napo safi sana wanatengeza makange mazuri, nimelala sana pale pamoja na rode motel ya kule mwenge. Jioni nasogea tu pale ubungo kula kuku wa kuchomaa ile kiswahili zaidiKuna pale Rafiki Resort wana chakula bomba sana
KBH nzuri sana, sijui imekutwa na nini tuNimelala sana KBH wana room bomba sana na bia pembeni pale
Hata mdau Torque vs HP naye sijui kapotelea wapifeyzal Mzee wa VW Polo hajaonekana kitambo jukwaani.
Au uhamie kwenye kabisa kwenye vits 🤣Ikifika 3,000/- nanunua VW Polo 1.2Tsi
SUZUKI CAPPUCCION itapendeza kana cc 650..Au uhamie kwenye kabisa kwenye vits 🤣
Check pm kuna issue nimekusogezea mkuu!
mkuu nasubiri pmCheck pm kuna issue nimekusogezea mkuu!
Kweli?Acha utundu ujue nimecheka mpk watu wamegeuka[emoji849]
Hujambo?🙂🙂🙂🙂
Marahaba piamarahabaaa karembo 🙂🙂
Marahaba tena😎😎😎😎😎
Nilihisi unatutambulisha rasmi kinywaji chako pendwa😀😀😀