Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi naomba lift mkuu,ila mimi ni kikongwe.Saa kumi natoka Dom to Dar hakuna pisikali ya kuipa lift humu ndani[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naomba lift mkuu,ila mimi ni kikongwe.Saa kumi natoka Dom to Dar hakuna pisikali ya kuipa lift humu ndani[emoji41]
Sasa unaogopa nini wakati ushaambiwa mvua ikinyesha dereva lazima aendeshe taratibu kwa kulibembelezaOhoo mvua ikinyesha reli inateleza[emoji1751],,hapo siwezi kupanda.
Huwa nawaza tu,yaani njia yake haina option ya kisogea pembeni,,
Dereva alenge tumulemule[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaokote pale bambalaga unakuja nayo siku mbili tatu inarudi ilipotoka 😄😄😄Saa kumi natoka Dom to Dar hakuna pisikali ya kuipa lift humu ndani[emoji41]
Inayumbaje kwa mfano
Mie nahitaji lift mkuu ila siyo pisi kali nina sura ya kudaia madeniSaa kumi natoka Dom to Dar hakuna pisikali ya kuipa lift humu ndani[emoji41]
Karibu best
Hakuna shida mkuu tuwasiliane tuMie nahitaji lift mkuu ila siyo pisi kali nina sura ya kudaia madeni
Wanaruhusu jinsia pinzani kujimix pamoja?All ni all ni usafiri mzuri sana kwa kutalii kama una safari ndefu na ukaboard yale madaraja yenye vitanda utaenjoy
Nipitie Kibaigwa.Saa kumi natoka Dom to Dar hakuna pisikali ya kuipa lift humu ndani[emoji41]
First class mnakuwa wawili .. alafu sana kwich kwich ya kwenye treni.. miaka ya zamani ile TRC iko vizuri tulikuwa tuna enjoy sana first class maana ina wa suport kuchezesha na kupandisha mizukaaa 😄😄😄 akili zangu hatari kweliWanaruhusu jinsia pinzani kujimix pamoja?
Kitanda si ni deka la 2pple tu?
Hamna CCTV? 😬
Kuchunguliwa / kuchunguliana na majirani?
Huko vyumbani ni kupo na partion ya rooms kama hostel za shule au?
Mkuu tuondokeMie nahitaji lift mkuu ila siyo pisi kali nina sura ya kudaia madeni
Kweli kusafiri ni kipaji..Sasa unaogopa nini wakati ushaambiwa mvua ikinyesha dereva lazima aendeshe taratibu kwa kulibembeleza
Yaani abiria unaogopa kuliko hata dereva jamani jamani kweli nimeamini kusafiri nako ni kipaji siyo kila mtu anacho
Hiyo ndiyo faida yake sasa yaani lile halirudi reverse, halikunji kona kali, halipandi mlima wala halishuki bonde
Rooms zipoje? Weuh hujamaliza kujibu maswali yangu unaingiza kwichikwichi.First class mnakuwa wawili .. alafu sana kwich kwich ya kwenye treni.. miaka ya zamani ile TRC iko vizuri tulikuwa tuna enjoy sana first class maana ina wa suport kuchezesha na kupandisha mizukaaa 😄😄😄 akili zangu hatari kweli
Yaani kwa mfano mtu amegonga treni na treni ikamkanyaga kwa juu.Inayumbaje kwa mfano
Yaani likigonga au kukanyaga mtu abiria wala hamhisi chochote mtapata tu taarifa kutoka mbele kuwa mida fulani mahali fulani liligonga au lilikanyaga mtu
Na huyo mtu ni either amefariki au amejeruhiwa tu maana siyo lazima kila anayegongwa na treni afe kuna ile kugongwa halafu linakutupa pembeni halikukanyagi
kwichikwichi ni mziki au mawazo yako yamewaza nini ? kuna vitanda viwliRooms zipoje? Weuh hujamaliza kujibu maswali yangu unaingiza kwichikwichi.
Arusha-bbt-Dodoma-mtera-Iringa-Mbeya-Tunduma-SumbawangaArusha - Dodoma - Mbeya - Tunduma - Sumbawanga
Dua zenu