Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ohoo mvua ikinyesha reli inateleza[emoji1751],,hapo siwezi kupanda.

Huwa nawaza tu,yaani njia yake haina option ya kisogea pembeni,,
Dereva alenge tumulemule[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaogopa nini wakati ushaambiwa mvua ikinyesha dereva lazima aendeshe taratibu kwa kulibembeleza

Yaani abiria unaogopa kuliko hata dereva jamani jamani kweli nimeamini kusafiri nako ni kipaji siyo kila mtu anacho

Hiyo ndiyo faida yake sasa yaani lile halirudi reverse, halikunji kona kali, halipandi mlima wala halishuki bonde
 
Duh [emoji26]
Kwahiyo mtu akigonga treni,treni haiyumbi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inayumbaje kwa mfano

Yaani likigonga au kukanyaga mtu abiria wala hamhisi chochote mtapata tu taarifa kutoka mbele kuwa mida fulani mahali fulani liligonga au lilikanyaga mtu

Na huyo mtu ni either amefariki au amejeruhiwa tu maana siyo lazima kila anayegongwa na treni afe kuna ile kugongwa halafu linakutupa pembeni halikukanyagi
 
All ni all ni usafiri mzuri sana kwa kutalii kama una safari ndefu na ukaboard yale madaraja yenye vitanda utaenjoy
Wanaruhusu jinsia pinzani kujimix pamoja?
Kitanda si ni deka la 2pple tu?
Hamna CCTV? 😬
Kuchunguliwa / kuchunguliana na majirani?
Huko vyumbani ni kupo na partition ya rooms kama hostel za shule au?
 
Wanaruhusu jinsia pinzani kujimix pamoja?
Kitanda si ni deka la 2pple tu?
Hamna CCTV? 😬
Kuchunguliwa / kuchunguliana na majirani?
Huko vyumbani ni kupo na partion ya rooms kama hostel za shule au?
First class mnakuwa wawili .. alafu sana kwich kwich ya kwenye treni.. miaka ya zamani ile TRC iko vizuri tulikuwa tuna enjoy sana first class maana ina wa suport kuchezesha na kupandisha mizukaaa 😄😄😄 akili zangu hatari kweli
 
Sasa unaogopa nini wakati ushaambiwa mvua ikinyesha dereva lazima aendeshe taratibu kwa kulibembeleza

Yaani abiria unaogopa kuliko hata dereva jamani jamani kweli nimeamini kusafiri nako ni kipaji siyo kila mtu anacho

Hiyo ndiyo faida yake sasa yaani lile halirudi reverse, halikunji kona kali, halipandi mlima wala halishuki bonde
Kweli kusafiri ni kipaji..
Yaani dereva aanze kulibembeleza[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First class mnakuwa wawili .. alafu sana kwich kwich ya kwenye treni.. miaka ya zamani ile TRC iko vizuri tulikuwa tuna enjoy sana first class maana ina wa suport kuchezesha na kupandisha mizukaaa 😄😄😄 akili zangu hatari kweli
Rooms zipoje? Weuh hujamaliza kujibu maswali yangu unaingiza kwichikwichi.
 
Inayumbaje kwa mfano

Yaani likigonga au kukanyaga mtu abiria wala hamhisi chochote mtapata tu taarifa kutoka mbele kuwa mida fulani mahali fulani liligonga au lilikanyaga mtu

Na huyo mtu ni either amefariki au amejeruhiwa tu maana siyo lazima kila anayegongwa na treni afe kuna ile kugongwa halafu linakutupa pembeni halikukanyagi
Yaani kwa mfano mtu amegonga treni na treni ikamkanyaga kwa juu.

Kwanini isiyumbe wakati itakuwa haijapita kwenye njia yake ,imepita juu ya mtu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom