Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ahaa mie sijaziona mzeeZinapita zinaenda Rwanda. Kwa wanao jua gari labda ila wengine wataona kama V8 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa mie sijaziona mzeeZinapita zinaenda Rwanda. Kwa wanao jua gari labda ila wengine wataona kama V8 tu
🤣🤣🤣 owkey.Omelette mbona easy tu! Ila lazma uwe na tabia zinazostahili kukaangiwa omelette sio unakuwa mtu wa hovyo kisha unataka uzungu! Uzungu should start from within.
Mwenyewe 🤣🤣.....
😅😅😅😅😅😅 usimuamini sana mwanasiasa! Mke wangu nikimpenda namsaidia kazi ila sio kupiga deki na kuosha vyombo😎😎😎Wewe extrovert ulishasema katu hauwezi msaidia mke wako hizo kazi hata awe mwema kiasi gani and yet unataka yeye awe anakupiga tafu unapokwama
Ndio ila muwale huku akilini mwenu mkijua kwamba hamuwakomoi wao maana wenzenu ili mradi wanapata wanachokitaka toka kwenu wala hawaoni hasaraKama na nyie hamuumii vichwa basi jambo la kheri acha tuendelea kuwala [emoji4][emoji4]
Hehe wanajisahaulisha kwamba ukitaka kula shurti na wewe uliweKuwala au kukulana? Sisi wenyewe tunawala fresh tu.
Sie hapa kimara mwisho huwa lazima zipite,Ahaa mie sijaziona mzee
Kutobolewa kawaida kwani si moja ya kazi ya yale maumbile ausie tuna wala na kuwatoboa [emoji4][emoji4][emoji4]
Eeh hatukomoani hata, na sie tunapata tunachotaka basi fresh..Ndio ila muwale huku akilini mwenu mkijua kwamba hamuwakomoi wao maana wenzenu ili mradi wanapata wanachokitaka toka kwenu wala hawaoni hasara
😃😃😃😃 eeh ndio ivyo tunatoboa tu tobooo hadi mishono na sasa hivi watakuja kutaka iPhone 13 twasubiri kwa hamu hapa konaniKutobolewa kawaida kwani si moja ya kazi ya yale maumbile au
Duuh mbona ninyi hata mume akiwa na tabia za hovyo bado mnataka mke aendelee kuwa mwema tu na atimize majukumu yake kama kawaidaOmelette mbona easy tu! Ila lazma uwe na tabia zinazostahili kukaangiwa omelette sio unakuwa mtu wa hovyo kisha unataka uzungu! Uzungu should start from within.
Hehe siku hizi ni kuburuzanaUkishakuwa mtu timamu maumivu huwa yapo, haijalishi ni nani. Ila hamuwezi kutupanda vichwani tutaendelea kuwaburuza tu ilo lipo wazi
Hawa usipoteze mda wako, peleke moto kila mtu aitunze nafsi yakeOmelette mbona easy tu! Ila lazma uwe na tabia zinazostahili kukaangiwa omelette sio unakuwa mtu wa hovyo kisha unataka uzungu! Uzungu should start from within.
Sasa mbona unasemaga hautaki mwanamke wa kupewa tu unataka mtakayesaidiana sasa unataka hivyo kwa misingi ipi babaOfcourse ndio mwendo huo sasa hivi! Ni unalipiwa bills zako ila unachapa kazi
Ila mnaomia ni nyie ndio maana mnatetewa tetewa kizembe zembe, ooh! haki za wanawake sijui nini.. hamna kitu mwanaume anabaki kuwa mwananume Mungu mwenyewe mwanaume ndio utaona kwamba tutaendelea kuwakanyaga vichwa hadi mkomeHehe siku hizi ni kuburuzana
Oohh basi hata yeye muache achague majukumu ya kukusaidia akisema atanunua vitu vidogo vidogo vya nyumbani tu ila mahitaji yote ya watoto uparangane nayo mwenyewe basi muache kabisaaa usimguse[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] usimuamini sana mwanasiasa! Mke wangu nikimpenda namsaidia kazi ila sio kupiga deki na kuosha vyombo[emoji41][emoji41][emoji41]
Haina kwere bablaiEeh hatukomoani hata, na sie tunapata tunachotaka basi fresh..
maisha yaendelee tuendelee kusambaziana upendo tuHaina kwere bablai
Hehe endeleeni kula uzuri mnasemaga hazina makombo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eeh ndio ivyo tunatoboa tu tobooo hadi mishono na sasa hivi watakuja kutaka iPhone 13 twasubiri kwa hamu hapa konani
hazina makombo zile japo zina uchakavu, kuna zenye namba A, B, C na D...Hehe endeleeni kula uzuri mnasemaga hazina makombo