Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahaha naona wajeda wame Die like Real Men!itakuwa na Airbags moja na nusu 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha naona wajeda wame Die like Real Men!itakuwa na Airbags moja na nusu 😀😀😀
Kitendo cha kuwa na mtu na mtu tayari ni hekima, naweza kaa na mtu yotote. 😀😀😀
Wewe ni mpinzani kama CUF huniumizi kichwa
nimemtapeli nani😂Hahahaha halafu unasema haujui mambo hebu acha utapeli ww😅
Sapoti ya kubambiwa na kukamatwa nyonga kwa nyuma vipi 😅 ina mchango katika pishi tamu?mimi mwanaume akinisaaidia tu hata kushika kijiko kunisogezea ninapoosha namchukulia kama ana msaada ,,ameonyesha sapoti. au napika ,akaja japo kukoroga tu😉
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msituchukie jamani. Mbona hatuna shida?
Wajeda washamba flani hivi wajeda wajanja wachache sana sijui shida nini ?Hahahaha naona wajeda wame Die like Real Men!
mpinzani 😀😀Kwendraaa
Eeh eeh heheheWajeda washamba flani hivi wajeda wajanja wachache sana sijui shida nini ?
Yeah sure! Wengi badala ya kulinda raia na mali zao wamegeuka kuwa majambazi wenyewe ndiyo wanawapora raia mali zao na kuwapiga!Wengi hawajitambui.
Mwenzako tumeonana nae live tumeongea nae live☹.. wewe unanionaga zoom tu huoni kuwa upo chaka 😀😀😀Sina lengo lolote, nimejaribu kumwambia the really you. Maana anayekujua sio wewe kabisa
Hahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani 😂 sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?Wajeda washamba flani hivi wajeda wajanja wachache sana sijui shida nini ?
Nawajua jamaa washamba sana, nilishafanya nao kazi yaani aaaah! kidogo wajanga ni vipepeo sema matapeli walio na mamlaka 😀😀😀Eeh eeh hehehe
Sikupingagi unajua. Ila kwa la SA napinga 🤣mpinzani 😀😀
vichwa vibovu vile ndio maana ukiwa nao karibu nao ndio utajua ni utopolo kama utopolo wengine, wapo walio smart ila wachache sanaHahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani 😂 sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?
Nazikubali mno !Ma worshiper tunajijua [emoji4][emoji4][emoji4] na tunajua kiu ya roho zetu mtakatifu mwenzangu
Huyu kaka nitamtetea popote atakaposemwa.Jamaa nilionana naye nikiwa katika kipindi kibaya mno,,ila kwa maneno yake tu nilipata relief...na zile gospel zake ahhhh!he is truly a holy man.Sijui labda kwa sababu napenda sana kusikia mambo ya kimungu.Mzee mwenzangu Holy Man hongera sana bana naona wasifu umekaa vyema kwa mtoto wa kinyaki 😅 fanyeni kweli sasa