Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu vipi kwa mwenye uzoefu bmw x3 ipoje? Kuanzia stability fuel consumption na mengineyo
Kuuliza stability kwa Germany car ni kama kuuliza karafuu Pemba. Fuel consumption kwa BMW X3 not friendly engine kubwa. Ni 2.5 au 3.0 petrol straight six engine. Napenda sana sound yake.
X3 code name E83 from 2003-2009. 2003-2006 zina 2.5i na 3.0i petrol engine code M54
Kuanzia 2007 zina 2.5si na 3.0si petrol engine code N52, more refined and complicated.
M54 iko vizuri,tough and less complicated.
Kuna diesel engine 3.0D inapatikana sana Europe code M57
 
Hapu mguu na macho yako tu mkuu, njia haina surprise zozote. Ungekuwa unatembea usiku ningekuambia uwe makini kipande flani ukishapita kibaigwa nadhani kuna kama mbuga, kuna matuta makubwa mno kama manne na hayana warning. Mchana utayaona ila usiku ndio changamoto.
Duh matuta makubwa halafu hayana warning?! Yana hata rangi?
 
Karma, sikutanii.. wengine tumekua ndoto zetu zilikuwa tuje tulitumikie taifa ( upande wa uaskari wa aina yoyote ) kwa maana kila raia haijalishi ni police au mwananchi analitumikia taifa kwa namna fulani..

Na tumesoma sana mpaka unajiuliza hivi hawatuoni au ndio mpaka refa [emoji3]

Sema ndio hivyo hakuna namna
Pole sana mkuu. Mungu ni mwema kama amekupangia huko basi atakupigania na utapata regardless.
 
Mkuu pambana ndoto Yako itatimia. Kama umepangiwa upande huo ni suala la muda.

Ukipata nafasi ya umachinga kama Holy Man na mimi usikatae riziki popote. Sio bongo tu ukitaka nafasi ya jeshi Kuna jamaa wa kitaa alijiunga na jeshi la wageni la USA ujaribu na huko Kuna watu watakusaidia miongozo ya kufikia ndoto.
Sio lazima uwe JWTZ ili utumikie taifa. ziko meansa nyingi sana ambazo unaweza litumikia taifa
 
Yeye amesema anataka litumikia taifa kupitia uaskari tu jamani Holy Man ni nini lakini mbona unamfuruga kijana wa watu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bado anaweza akawa askari asie na mamlaka wala uniform na Taifa likanufaika yeye sana. shida watu wanapenda mamlaka pia. Ukitaka taifa linufaike na kuwa salama hauitaji kuwa askari hata 😀😀 hata kuhakikisha kipindu pindu na malaria mtaani kwako vinatokomea nayo ni huduma kubwaaa sana
 
Back
Top Bottom