Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nitakuchana msamba ukiingia vibaya 🥷🥷🥷Nani mwingine kama sio wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuchana msamba ukiingia vibaya 🥷🥷🥷Nani mwingine kama sio wewe?
Mkuu unakata upepo kama km ngapi 😀😀😀Bravo comrade 💪💪💪
Upepo ndio huna 😴 kajaze kwanza then urudi.Nitakuchana msamba ukiingia vibaya 🥷🥷🥷
😀😀😀😀 hata unisumbui nimeishajuaaaa eeehUpepo ndio huna 😴 kajaze kwanza then urudi.
Kumi to kumi na tano,hizo ishirini labda iwe kwenye tambarare ila kwa ufupi niliachana nazo....mara ya mwisho ilikuwa kumi na tano hapa Atlas na ile ya ocean City..........njoo tukakimbie ya masaki tarehe 21😄😄😄Mkuu unakata upepo kama km ngapi 😀😀😀
Na wewe utakuwa una ki mto eehee🤭Kumi to kumi na tano,hizo ishirini labda iwe kwenye tambarare ila kwa ufupi niliachana nazo....mara ya mwisho ilikuwa kumi na tano hapa Atlas na ile ya ocean City..........njoo tukakimbie ya masaki tarehe 21😄😄😄
Inini?😀😀😀😀 hata unisumbui nimeishajuaaaa eeeh
labda mbio zingine hizo nitakufaa 😀😀😀Kumi to kumi na tano,hizo ishirini labda iwe kwenye tambarare ila kwa ufupi niliachana nazo....mara ya mwisho ilikuwa kumi na tano hapa Atlas na ile ya ocean City..........njoo tukakimbie ya masaki tarehe 21😄😄😄
Upo hoi mtoto 😀😀😀 utanicharaza nakutazma eeh! nitakurudishia na kirungu nkoiInini?
Usisubutu kuniandikia mafumbo mimi nitakucharaza 😂
Kwani wakiishiwa pesa na utamu unaisha mkuuOngeza kuwa ni kipindi cha bunge na wanachuo ndo wamekwenda kuliport na bado watamu maana pesa wanazo
Washindi huwa wanapewa zawadi gani?21km done!
View attachment 2001762
Si nilienda kukutafuta huko kwa page ya NBC, kwani hata nimeambulia kitu?Kuna moja wamepewa gari
Basi kuna pic hawajapost... Iweke basi chap naenda kuona tu mimi peke angu 😀Ingekuwa nimepiga picha na bib namba yangu ungeniona!
Ni zawadi nyingine zipi huwa zinatolewa nje na gari?Kuna moja wamepewa gari
HelaNi zawadi nyingine zipi huwa zinatolewa nje na gari?
Gharama za ushiriki ni kiasi gani?
Ni vigezo gani vinaangaliwa ili mtu aweze kushiriki?
Mbio nyingine zinazofuata ni lini na ni wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app