Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Anajiamini sana na lift za kiume na watoa lift wanamuogopa. wanasema mchawi mpe mtoto alee sijui ndo mbinu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najikuta tu....mama yangu anatokea hukoMbona unapapenda sana northern zone mkuu[emoji28][emoji28]
Haya ukuje upate kumbato la moto
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Aisee tatizo wakisha kukubali hata ukijiita maviHuyu kijana muhuni sana 😀😀😀😀 nimesikia anajiita hivyo kupunguza attention za wale wenzetu
Hivi humu watoa lift ni wa kiume tu?Anajiamini sana na lift za kiume na watoa lift wanamuogopa. wanasema mchawi mpe mtoto alee sijui ndo mbinu yake
Ha ha ha nadeka na baba dec hiiLift ya kaskazini ipo kwa ajili yako....
Ooh, basi kumbato likaishia hapo. Shikamoo bloo angu[emoji23][emoji2222]Najikuta tu....mama yangu anatokea huko
Ha ha ha like seriously? Watamuiba sikiAnajiamini sana na lift za kiume na watoa lift wanamuogopa. wanasema mchawi mpe mtoto alee sijui ndo mbinu yake
Ha ha ha kisses darling.... make sure u get sitted on the left seat of the driver..Nifanyeje sasa na gari sina[emoji16]
[emoji38]
[emoji38][emoji38]Ha ha ha kisses darling.... make sure u get sitted on the left seat of the driver..
Tchaooo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
OOOH vipi tena unakatisha kumbato? Usifanye hivyo missOoh, basi kumbato likaishia hapo. Shikamoo bloo angu[emoji23][emoji2222]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Duh huwa siamini mtu kabisa, siwezi kupata usingizi.Najiandaa na trip hapa ya masaa 12 hivi, kuondoka mpaka saa 1 unusu usiku huu. Uzuri hii mimi abiria nafunga mkanda wangu ikifika saa 4 nimeshalala nitajua yanayoendelea kukikicha.
Na anawakomesha kweli yani mpaka anajiamisha mpaka inakua kweli. Ila awe makini inaweza tokea bahati mbaya siku ha ha haaaAnajua kaka zake sisi ni ma gentlemen
Ooh, basi kumbato likaishia hapo. Shikamoo bloo angu[emoji23][emoji2222]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji38]
Uzuri humu watakatifu ni wengi.