Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😁😁😁 Toyo hawana zaidi ya copy kwa mjerumani..Mjapan anaanza kuwa Mjerumani. Engine ndogo anaiwekea twin turbo.
Cc Extrovert
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁 Toyo hawana zaidi ya copy kwa mjerumani..Mjapan anaanza kuwa Mjerumani. Engine ndogo anaiwekea twin turbo.
Cc Extrovert
Nilihisi tu maana videos nyingi wakiwa wanapambanisha Nissan na LC 300 huwa wanaweka either Patrol Ti-L au Infiniti QX80 maana ndiyo ligi moja. Kama ni hilo sina mashaka nalo.Hio QX80 ni Y62 in disguise! 5.7 V8 engine. It's a beast.
Sema unaidiss mno Toyota. Sasa si ziko almost sawa tu na Nissan kwenye performance kuanzia magari ya chini hadi ya juu.[emoji16][emoji16][emoji16] Toyo hawana zaidi ya copy kwa mjerumani..
Aiseeeeee... Duuuuhh hahahahaha yani imebidi nicheke tu.Gari hii 17m Hadi Tz, ushuru 34m unatoka wapi? Mara mbili ya bei ya gari?!!
View attachment 2089464View attachment 2089465
Hapana sio kweli mie si diss toyota.. just fun.. Ila Nissan ni kama mjerumani alie poa.. huwezi mlinganisha na toyoSema unaidiss mno Toyota. Sasa si ziko almost sawa tu na Nissan kwenye performance ya kuanzia magari ya chini hadi ya juu.
Wote ni wajerumani waliopoa. Au tuseme Nissan ni BMW/VW aliyepoa na Toyota ni Porsche/MB aliyepoa eh. [emoji16][emoji41]Hapana sio kweli mie si diss toyota.. just fun.. Ila Nissan ni kama mjerumani alie poa.. huwezi mlinganisha na toyo
😬😬😬 kumuweka Toyo kwenye class ya Porsche ni matusi makubwa sanaaa... Nissan imechangamka, ndio maana hata wabongo wanalia lia gharama ya kuzi maintain.. Sema Toyo sio wabayaWote ni wajerumani waliopoa. Au tuseme Nissan ni BMW/VW aliyepoa na Toyota ni Porsche/MB aliyepoa eh. [emoji16][emoji41]
Wewe si ndiyo umeanzisha huo mzaha wa kulinganisha mjapani na mjerumani mie nilikuwa naendeleza tu. Hehe nasikia wazee wa Dualis wameanza kulia huko sijui kimewakumba nini.[emoji51][emoji51][emoji51] kumuweka Toyo kwenye class ya Porsche ni matusi makubwa sanaaa... Nissan imechangamka, ndio maana hata wabongo wanalia lia gharama ya kuzi maintain.. Sema Toyo sio wabaya
Nadhani mkuu maana hawa wajerumani walinitoa mchezoni kabisa nilifika nimenunaHujapitwa na Crown moja ya silver? Maanake alienipita na wala sikuhangaika nae ni C350 au C400 tu
Crown wamoto sana Kuna Moja hiyo ilitupita maeneo ya Tanga mbele mbele kidog huyo nadhani alikuwa anachezea 160+ ilikuwa sijui Black ama silver flan hiv daahhhhUkiwa na Crown au Vanguard mtu kukupita inabidi awe 200+ maanake Crown kwenye ligi mara nyingi inacheza 160+
Heshima Kwa mzunguIla mkuu naamini ulivyofika ulifikiri upya suala la kumiliki European car hahahaha..
Sasa sisi tulikuwa tunatembea 180km/hr very comfortably..
Nyie jamaa huwa mna fujo sana...ila naikubali sana XTKuchimba dawaView attachment 2090427
Uko informed sana na hizi mambo...! Dualis tulijua its a matter of time tu.😀😀😀😀😀😀Wewe si ndiyo umeanzisha huo mzaha wa kulinganisha mjapani na mjerumani mie nilikuwa naendeleza tu. Hehe nasikia wazee wa Dualis wameanza kulia huko sijui kimewakumba nini.
Hahahaha hii January ni mwendo wa Esther tu
Thanxx mkuu,ni dedication kwako. You made me...Nyie jamaa huwa mna fujo sana...ila naikubali sana XT
Mjapan katoa boko gani tena.. tupo busy sana na pirato.. hatujui kinacho endeleaUko informed sana na hizi mambo...! Dualis tulijua its a matter of time tu.😀😀😀😀😀😀